Nashangaaa watu tumezaliwa mwananyara tunaanzaje kuhama hahaaYeye ndio ametukuta sisi hapa Mzizima city. Alipokuja kutoka bara chapa ng'ombe sisi tulishajikita na dili zetu day to day. Mwambieni hatuhami. Ila yeye ndio atang'oka apende asipende
Sie tuliozoea kuishi maisha ya kawaida hatuoni tabu kabisaa.Vile viofa vyenu vimepungua siku hizi. Mjini pazito, kwa wasiokuwa na kazi za kuaminika. Kwa waliotegemea "grant" kutoka kwa wanene, sasa hivi jasho linawatoka.
Hahaha hahaha inamaana ulikua hujijui mzee baba au mzee mama [emoji23][emoji23][emoji23]Na Mimi sasa hivi tiyari nshakua na uhakika na jinsia yangu ya kiume
Unajua nyie wanaume wa Daslam mna maneno ya shombo kamaji yalooshewa sangara.....[emoji34] [emoji34]Leo ni tarehe 01/07/2017 nawakumbusha ile kauli "atakaefika tarehe 01/07/2017 Dar, yeye ni mwanaume"
Hongereni wote ni wanaume sasa.
Ndio siku niliyohamia kilingeni msata rasmiLeo ni tarehe 01/07/2017 nawakumbusha ile kauli "atakaefika tarehe 01/07/2017 Dar, yeye ni mwanaume"
Hongereni wote ni wanaume sasa.
Ndio siku niliyohamia kilingeni msata rasmi