Kweli una kiwewe mpaka unakosea kuandika headingNawapa ongera Utopolo kuweza kufanya vizuri kwa msimu huu wa ligi.
Mlikuwa na vizingiti vingi kwa awamu ya 5 ambapo sisi tulitamba tutabeba ubingwa mfulilizo kwa miaka 10 sababu tuliamini...
Bado haitoshi friend of Namungo ni Hongera sio OngeraAkili ndogo zinajadili mambo madogo.
Kwenye I weka O
Kwani heading tu? Hata humo ndani badala ya kuandika HONGERA kaandika ONGERAKweli una kiwewe mpaka unakosea kuandika heading
MAKOLO nyerere alianzisha memkwa ......Nawapa ongera Utopolo kuweza kufanya vizuri kwa msimu huu wa ligi.
Mlikuwa na vizingiti vingi kwa awamu ya 5 ambapo sisi tulitamba tutabeba ubingwa mfulilizo kwa miaka 10 sababu tuliamini tutaendelea kushika atamu kwenye uongozi kwa Mbunge wa Ruangwa na Mhe. Makinda lakini yalikuwa machukizo kwa Mungu.
Watani ongereni sana sababu leo tulitegemea tofauti lakini imekuwa kinyume
View attachment 2198037
Nawapa ongera Utopolo kuweza kufanya vizuri kwa msimu huu wa ligi.