Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Nawapa ongera Utopolo kuweza kufanya vizuri kwa msimu huu wa ligi.
Mlikuwa na vizingiti vingi kwa awamu ya 5 ambapo sisi tulitamba tutabeba ubingwa mfulilizo kwa miaka 10 sababu tuliamini tutaendelea kushika atamu kwenye uongozi kwa Mbunge wa Ruangwa na Mhe. Makinda lakini yalikuwa machukizo kwa Mungu.
Watani ongereni sana sababu leo tulitegemea tofauti lakini imekuwa kinyume