Hongereni Yanga, ila nyie ni wa hapa hapa tu

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,227
Nawapongeza watani kwa kuchukua ndoo mwaka huu

Mmejitahidi sana kucheza mpira na kutumia wallet kununua mechi

Ila niwakumbushe tu kuwa nyie ni wa "HAPAHAPA" tu...Huko mnaenda kupoteza hela za Kanjibhai

Ni bora mara kumi mngeamua kubaki tu hapa tucheze huku Mchangani kwa sababu hamuwezi kufika popote

Tunatengeneza timu na tunakuja kuchukua nafasi yetu

cc Makoye Matale grafani sembo nifah mkolaj Bantu lady Amavubi
 
Last edited by a moderator:
Hilo duka ambako Azam kashindwa kununua pamoja na hela zake liko wapi?
 
Hiyo timu inayotengenezwa tokea 2012 sijui timu gani!
Endeleeni kutengeneza timu mjiandae na mashindano yenu ya mchangani maana ndio saizi yenu.
 
Sio fresh hivyo bwana, huu ni utani tu usichukulie mambo serious. After all michezo ni burudani.
Matusi waachie wana msimbazi Jangwani amani na furaha tele.
Au sio?
Peace.
 
Nawapongeza watani kwa kuchukua ndoo mwaka huu

Mmejitahidi sana kucheza mpira na kutumia wallet kununua mechi

Ila niwakumbushe tu kuwa nyie ni wa "HAPAHAPA" tu...Huko mnaenda kupoteza hela za Kanjibhai

Ni bora mara kumi mngeamua kubaki tu hapa tucheze huku Mchangani kwa sababu hamuwezi kufika popote

Tunatengeneza timu na tunakuja kuchukua nafasi yetu

cc Makoye Matale grafani sembo nifah mkolaj Bantu lady Amavubi

endeleen kutengeneza timu za kushrk mashndano ya mchangan hahahahahah hata nafas ya pili mmekosa? Mliboranga wenyewe wala hatutak hongera yako ya knafk
 
Last edited by a moderator:
Kweli kwani jangwani ni (wenzetu ndugu zetu )watarudi na kutukuta wa mchangani na kuwafunga vzr tu.
 
Uko sahihi kabisa Freeland msimu huu tulikua tunamalizia finishing ya ujenzi wa simba mpya. Ndala mjipange vizuri tu, mana tunakuja na kasi ya ajabu sana msimu ujao. Kuhusu CAF Championship, yale ni mashindano ya mabingwa haswaa na nyinyi ni mabingwa wa kisiwa, hivyo mwisho wenu lazima uwe raund ya 1.. Ndala nawatakia kila la heri katika kuwasindikiza mabingwa haswaa kama kina Mazembe, Esperance n.k
 
Last edited by a moderator:
Nawapongeza watani kwa kuchukua ndoo mwaka huu

Mmejitahidi sana kucheza mpira na kutumia wallet kununua mechi

Ila niwakumbushe tu kuwa nyie ni wa "HAPAHAPA" tu...Huko mnaenda kupoteza hela za Kanjibhai

Ni bora mara kumi mngeamua kubaki tu hapa tucheze huku Mchangani kwa sababu hamuwezi kufika popote

Tunatengeneza timu na tunakuja kuchukua nafasi yetu

cc Makoye Matale grafani sembo nifah mkolaj Bantu lady Amavubi

Bingwa kafahamika, wa pili kabainika na wa mchangani anajijua hivyo hatuna haja ya kuendelea kubishana kuhusu 'nani zaidi'.

Sasa hebu nikuulize kaswali kadogo: kale ka ndoa kako kameishia wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom