Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Natoa nafasi ya pekee kwa Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli, nadhani mmeijua Simba ni watu wa namna gani. Nimepata taarifa hapa kwamba Haji Manara amekamatwa akicheka chooni.
Simba nawapongeza pia kwa kuwaheshimu Yanga na kuwafundisha Mpira wa kimataifa ulivyo.
Simba nawapongeza pia kwa kuwaheshimu Yanga na kuwafundisha Mpira wa kimataifa ulivyo.