Hongereni Yanga Kwa Ushindi-Uzi Maalum wa Pongezi

Hongereni Yanga Kwa Ushindi-Uzi Maalum wa Pongezi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Nawqapongeza sana watani kwa ushindi wa JANA

Mlistahili kushinda tulianza mechi kwa kushambulia toka kulia na kuingia kwaa Bunsungu kulisaidia kuziba ile njia na kumfanya Kessy acheze kwa kupanik hasa kipindi cha pili akichagizwa na kelele za mashabiki

sitaki kumlaumu refa kwamba ndiye chanzo cha kufungwa kwa simba kwani ukweli unabaki pale kwamba yanga wana fwadi yenye njaa kuliko simba na uzoefu umeibeba sana Yanga kwa kuccheza kwa kutulia na kujituma muda wote wa mchezo wakicheza kwa malengo ya ushindi unlike simba waliokua mabishoo zaidi kwa kucheza na jukwaa

hata sub za simba hazikua na msaada tofauti na Yanga kwani Malimi Busungu ndiye alibadili maokeo kwa kutengeneza goli moja na kufnga lingine huku akisababisha Yanga kubadili pia mfumo wa uchezaji kwani walianza kwa pasi fupi na wakabadili kwa kucheza pasi ndefu zilizoisumbua sana simba
 
Simba kuanzia viongozi,mashabiki hadi wachezaji walikuwa na confidence ya kushinda game tofauti na Yanga walikuwa wanyonge,Kiiza alipoteza nafasi mbili za wazi.Barthez,Canavaro,Kamusoko walicheza kwa utulivu sana naomba umsalimie sana sembo akiamka
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, Hongereni kwa ushindi.. ila mnatakiwa kufahamu ligi kuu ni sawa na mbio za marathon.
 
kweli kabisa Bello na walibweteka zaidi baada ya kupiga pasi mbili tatu
 
Ubingwa wa msimu huu utakuwa mtamu sana baada ya kumfunga Simba
ni mapema sana nahis mtakuja kuchoka kwa sababu timu yenu ina wazee wengi na wanatumia nguvu sana naziona injuries na kadi kuja kuiathiri yanga mbeleni
 
ni mapema sana nahis mtakuja kuchoka kwa sababu timu yenu ina wazee wengi na wanatumia nguvu sana naziona injuries na kadi kuja kuiathiri yanga mbeleni

Tuna wachezaji wa kutosha
GK-Barthez,Dida,Tinoco

Defender -Twite,Juma,Mwinyi,Joshua
Canavaro,Yondani

Viungo-Haruna,Kamusoko,Telela,Makapu,Coutinho,Mwashiuya,Kaseke

Strikers-Tambwe,Ngoma,Busungu,Msuva
Hawa wanatosha kabisa kwenye hii ligi yetu ambayo mechi ni 30
 
ni mapema sana nahis mtakuja kuchoka kwa sababu timu yenu ina wazee wengi na wanatumia nguvu sana naziona injuries na kadi kuja kuiathiri yanga mbeleni

Mkuu ni yanga na lamba lamba pekee wenye wigo mpana wa wachezaji kuhusu kuchoka kwa game 30 na zile za Fa sijui ambazo mpk final ni game 7 ambazo jumla na vpl inakua 37 sahau khs kuchoka ila injuries na kadi timu yoyote inaweza kupata kumbuka ila ila kwa 7bu ww ni mtani endelea kuombea njb
 
Jamani mwenye ujuzi wa soka atupatie player ratings za wachezaji wa simba na Yanga za gem ya jana
 
Tuna wachezaji wa kutosha
GK-Barthez,Dida,Tinoco

Defender -Twite,Juma,Mwinyi,Joshua
Canavaro,Yondani

Viungo-Haruna,Kamusoko,Telela,Makapu,Coutinho,Mwashiuya,Kaseke

Strikers-Tambwe,Ngoma,Busungu,Msuva
Hawa wanatosha kabisa kwenye hii ligi yetu ambayo mechi ni 30

Hongereni Yanga kwa ushindi,vijana wetu walipossess mpira lkn finishing haikuwa nzuri.Kamussoko na Busungu walibadili mchezo dk 10 za kipindi cha kwanza na Kipindi cha pili kwa ujumla.
Wekundu,wanahitaji ukomavu, game ya Yanga ni kama game nyingine,warudi camp waendelee na maandalizi ya game zijazo.
 
"Sisi Simba tumeyakubali matokeo hayo ya dakika tisini za mchezo na tutumie nafasi hii kiungwana kabisa kuwapongeza watani wetu wa jadi kwa ushindi huo walioupata,".
 
Timu yangu sana. Lakini naogopa kuvaa jezi yetu kisa MAGAMBA (ccm) nimeshindwa hata kutamba
 
Mkuu, Hongereni kwa ushindi.. ila mnatakiwa kufahamu ligi kuu ni sawa na mbio za marathon.

Hilo ndiyo lilikosekana kwa nyie watani zetu. Kuna viongozi wenu bado wanadhani kuifunga Yanga ndiyo kila kitu. Dunia ya mpira imebadilika sana.
 
Back
Top Bottom