Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Nawqapongeza sana watani kwa ushindi wa JANA
Mlistahili kushinda tulianza mechi kwa kushambulia toka kulia na kuingia kwaa Bunsungu kulisaidia kuziba ile njia na kumfanya Kessy acheze kwa kupanik hasa kipindi cha pili akichagizwa na kelele za mashabiki
sitaki kumlaumu refa kwamba ndiye chanzo cha kufungwa kwa simba kwani ukweli unabaki pale kwamba yanga wana fwadi yenye njaa kuliko simba na uzoefu umeibeba sana Yanga kwa kuccheza kwa kutulia na kujituma muda wote wa mchezo wakicheza kwa malengo ya ushindi unlike simba waliokua mabishoo zaidi kwa kucheza na jukwaa
hata sub za simba hazikua na msaada tofauti na Yanga kwani Malimi Busungu ndiye alibadili maokeo kwa kutengeneza goli moja na kufnga lingine huku akisababisha Yanga kubadili pia mfumo wa uchezaji kwani walianza kwa pasi fupi na wakabadili kwa kucheza pasi ndefu zilizoisumbua sana simba