simojaxlegrand
Member
- Aug 1, 2015
- 21
- 43
Kwa niaba ya Wanayanga wote duniani napokea pongezi zako.Niwapongeze Yanga kwa kuchukua ubingwa tena msimu huu, Mlistahili kwa mikakati mingi mizuri mliyokuwa nayo zaidi katika usajili na mengine mengi. Pia niwatakieni kila la heri ikimpendeza Mungu mkabebe na kombe la shirikisho Africa. Naamini kwa kufanya hivyo mtaliheshimisha Taifa na kuleta chachu kwa timu zetu kupambana zaidi misimu ijayo na kufika mbali kimataifa[emoji106]
#Simbanguvumoja[emoji123]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmestahili mtani[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kwa niaba ya Wanayanga wote duniani napokea pongezi zako.
[emoji172][emoji169][emoji1666]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji169][emoji617][emoji172][emoji471]Niwapongeze Yanga kwa kuchukua ubingwa tena msimu huu, Mlistahili kwa mikakati mingi mizuri mliyokuwa nayo zaidi katika usajili na mengine mengi. Pia niwatakieni kila la heri ikimpendeza Mungu mkabebe na kombe la shirikisho Africa. Naamini kwa kufanya hivyo mtaliheshimisha Taifa na kuleta chachu kwa timu zetu kupambana zaidi misimu ijayo na kufika mbali kimataifa[emoji106]
#Simbanguvumoja[emoji123]
Hiyo siyo hongera ya kutoka rohoni, bali ni hongera iliyojaa chuki,,,,!hongerani gongo wazi kwa ubingwa
ni utani wa jadi mkuuHiyo siyo hongera ya kutoka rohoni, bali ni hongera iliyojaa chuki,,,,!
Mbaazi zikikauka husingizia jua.UTOPOLO ktk ligi wananunua mechi sana...
Caf wamekutana na zari la mentali...!
Na nyie nunueniUTOPOLO ktk ligi wananunua mechi sana...
Caf wamekutana na zari la mentali...!