simojaxlegrand
Member
- Aug 1, 2015
- 21
- 43
Niwapongeze Yanga kwa kuchukua ubingwa tena msimu huu. Mlistahili kwa mikakati mingi mizuri mliyokuwa nayo zaidi katika usajili na mengine mengi.
Pia niwatakieni kila la heri ikimpendeza Mungu mkabebe na kombe la shirikisho Africa.
Naamini kwa kufanya hivyo mtaliheshimisha Taifa na kuleta chachu kwa timu zetu kupambana zaidi misimu ijayo na kufika mbali kimataifa [emoji106].
#Simbanguvumoja[emoji123]