CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Moja ya Chalange inayo tukabili wajasiriamali wa bongo ni kuto ku heshimu dream zetu.
Kila mmoja najua ana dream au Idea yake ambayo angetamani kuitekeleza kabla hajafa.
Ila tatizo ni pale mtu anapo ona dream yake/ Idea yake sio lolote wala chochote bali Idea ya mtu mwingine ndo Bora.
Mtu ana kuwa na mashaka na Dream yake, hivi how come una mashaka na Dream yako then u trust dream ya mtu mwingine?
Kwa nini u trust drem yangu na uone yako haiko sawa?
Mtu anaweza kuwa na Dream ya kuwekeza kwenye kilimo cha Mchicha ila hapo katika kati akisikia ufugaji wa Bundi unalipa basi ataacha Idea yake ya Mchicha ataenda kufuga Bundi.
Katikati ya kufuga Bundi akisikia maziwa ya pala ni Dili sana basi hata ufugaji wa Bundi utasimama na atakimbilia tena kufuga paka ili akamue maziwa.
Heshimu Idea yako na Idea yako ni Bora kuliko ya mtu mwingine na kamwe usiilinganishe na ya mtu mwingine
Idea yako siku unaitekeleza utakuja kugundua kwamba ni bora zaidi na ulikuwa na uoga wa bure tu.