Hons bachelor degree...

Hons bachelor degree...

geofmwemezi

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Habari zenu wadau? kuna mtu anafaham hizi bachelo degree zenye hons zinavyopatikana? ni kwa sifa zipi mwanazuoni ana qualify kupewa hizi bachelor zenye hons?? k.v LLB(hons.), BBA(hons.)…n.k
 
kuna baadhi ya vyuo kama hujawahi kula supplementary unakula hons...kuna vungineunatakiwa ufaulu wako uwe unapanda tuu usishuke hata point moja mf; semester1 gpa3.5. Sem2 gpa3.7 sem3 gpa3.8 (ziwe zinapanda tu )
 
kigezo cha kupata Hon kwa udsm ni GPA kumaintain isishuke...iwe palepale au uwe unaipandisha mwaka hadi mwaka, pili usiwe umeshapata sup.
 
GPA ikiwa inapanda....bila kushuka!
nijuavyo mm...ngoja niwapishe wanao jua zaid
 
hons ni mhitimu wa university aliyepata first class yenye background ya kutoshuka GPA kila mwaka Bila kuwa na historia ya supplimentary yeyote.
 
Bora kwetu ambako hakuna classification. Upate sup mwanzo mwisho na ka B kamoja wote mnapewa degree moja na masters wote mtarudi.
 
Kwa sasa kila mtu anapewa hons nmeexperience from udsm transcript 2012,mtu ana gpa 3.1,keshakula sup kibao na bado ana hons(nimesikia baada ya miaka50 ya udsm ndo walianza ivyo
 
hons ni mhitimu wa university aliyepata first class yenye background ya kutoshuka GPA kila mwaka Bila kuwa na historia ya supplimentary yeyote.

Si lazzima uwe na first class..unaweza kuwa na gentleman lakn GPA yako ilikuwa inapanda
 
Back
Top Bottom