Hook up na Wema Sepetu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Jamani mimi ni msanii chipukizi nilikua nataka ni shoot video na ninataka nimtumie bibie SEPETU kama video queen then nitamlipa baada ya kuuza wimbo wangu MKITO,so kama kuna mtu anaweza nihook up naye nitashukuru.Pia kuna video yangu nyingine nataka nimtumie Le Mtuzi kwenye role ya ujambazi pia anayeweza kunihook up naye nitashukuru.Natanguliza shukran za dhati ili tuweze kuufikisha huu mziki kwenye anga za kimataifa na kuendelea kuleta tuzo nyumbani
 
Usijaribu kumuweka huyo kipindi hiki video yako itadoda mkuu mwisho wa siku utashidwa kumlipa hela yake
 
Haaaah mcheki Le mutuz yupo jamii forum humu
 
Mcheki lemutuz na wema insta direct kwanza "
 
Mkuu usiwe na wasi huyo ni mihela yako tu, lakini kwa sasa kapanda dau kutoka tsh 5,000 ya mwaka jana sasa hivi ni tsh 10,000 na hii inajumlisha gharama zote na utamtenda chochote kwenye mwili wake.
 
Fanya umshirikishe na Alikiba huo wimbo ambo Le mutuz yumo ndani, maana naona mashabiki wake tunawapoteza huku jukwaa linapoa sana... Piganae Singeli moja
 
Haha una utani na watu Lemutuz na scene ya ujambazi ?? But why ???
 
Hahahaaaaaa apo kwa le mutuz na scene ya ujambazi umenivunja mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…