MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Jamani mimi ni msanii chipukizi nilikua nataka ni shoot video na ninataka nimtumie bibie SEPETU kama video queen then nitamlipa baada ya kuuza wimbo wangu MKITO,so kama kuna mtu anaweza nihook up naye nitashukuru.Pia kuna video yangu nyingine nataka nimtumie Le Mtuzi kwenye role ya ujambazi pia anayeweza kunihook up naye nitashukuru.Natanguliza shukran za dhati ili tuweze kuufikisha huu mziki kwenye anga za kimataifa na kuendelea kuleta tuzo nyumbani