niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Wakubwa shikamooni, walika langu mambo vipi na wadogo kwangu nimeipokea salamu yenu.
Wote naombeni munipokee jukwaani maana nina kiu kweli ya kujumuika nanyi.
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI KATIKA UTAFUTAJI WENU.