eeenh ngoja tumwite........we baba ngina Mtambuzi kuna mwanao huku.........
Duh, hili toto lishajua mambo ya mutandao.....!
Ngona nimwite mama yake hapa aone mwanaye keshajua haya mambo
Mama Ngina popote ulipooooooo
nawapenda sana!!!
mnanipa raha nyie...wallah ndio mana nikaamua kujiunga nanyi!!!
mwanifungua akili etc etc etc!!!
naombeki kukaribishwa....lakini kukaguliwa naogopa!!!!
hodi!