Hooooooodiiii!!!

Hooooooodiiii!!!

Ngina

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
5
Reaction score
1
nawapenda sana!!!
mnanipa raha nyie...wallah ndio mana nikaamua kujiunga nanyi!!!

mwanifungua akili etc etc etc!!!

naombeki kukaribishwa....lakini kukaguliwa naogopa!!!!

hodi!
 
eeenh ngoja tumwite........we baba ngina Mtambuzi kuna mwanao huku.........
 
Last edited by a moderator:
Duh, hili toto lishajua mambo ya mutandao.....!
Ngona nimwite mama yake hapa aone mwanaye keshajua haya mambo
Mama Ngina popote ulipooooooo

Ha ha ha haah!! Mtambuzi zile stori za enzi zile usiache kutupatia, licha ya mwanao kuwepo humu.
 
Last edited by a moderator:
nawapenda sana!!!
mnanipa raha nyie...wallah ndio mana nikaamua kujiunga nanyi!!!

mwanifungua akili etc etc etc!!!

naombeki kukaribishwa....lakini kukaguliwa naogopa!!!!

hodi!

karibu uzidi pewa raha Ngina, zikikuzidia ucjepiga mayowe.. Hahaaaaaa...
 
Back
Top Bottom