baada ya mimi kumchagua DK SLAA,HALIMA MDEE,NA DIWANI WAO WA CHADEMA nitakuwa hapo JJ namshughulikia yule ''mdudu'' na grants kwa wingi sana:smile-big:
KARIBU SANA
Arusha na Kilimajaro wala thithiemu wasipoteze muda wajaribu lindi na Mtwara labda!
Arusha na Kilimajaro wala thithiemu wasipoteze muda wajaribu lindi na Mtwara labda!
Heshima kwako PakaJimmy,
Niko sana mkuu nilikuwepo kwenye mkutano nikawaida yangu kuhudhuria mikutano ya wagombea wote.Nimefurahia kauli yako kwamba Arusha imekombolewa ni jambo zuri ila usisahau mara zote historia ni mwalimu mzuri!.
ha ha ha!Nakushauri usiende hapo JJ, you will spoil your day. Mwenye hiyo Bar, akishalewa huwa anafukuza wateja, anafunga Bar kisha ana ejoy na mkewe.
Wanasema hata mtu anapoelekea umauti haaangalii nyuma, anakaza mwendo tu bila kujua kesi yake itakuwaje huko!...Elimu ni kila kitu, na ukiikosa unabaki kama zuzu, huelewi unakoelekea,...inatisha hii!genekai umenikumbusha ile kitu inaitwa VISIOUS CIRLCE OF POVERTY.
Ile mikoa maskini zaidi ndiyo inayoongoza kwa elimu duni afya mabaya na mimba za wanafunzi kibao ndio mikoa inayokumbatia hao waliowafikisha hapo walipo yaani CCM . Ajabu ni kwamba wanataka tuu kuichagua CCM maana yake ni kwamba hawatapata elimu bora kwa miaka mitano ijayo, mimba shuleni zitaongezeka mara 5 sababu ya ufukara, vifo vitaongezeka mara 5 sababu ya huduma mbaya za afya, Tembe zao (Nyumba ) zitaongezeka mara 5 sababu hawawezi kujenga zilizo bora , umaskini wao utaongezeka mara 5 na wataendelea kuishabikia CCM kwa miaka 5 tena kuanzia 2015.
Jamani duniani hamna kitu mabaya kama umaskini na vita ya kujtoa humo ni ngumu kuliko vita ya msituni. Si mnaona hata wakiambiwa watapewa mkate bure wanakataa maana hawaamini? Hawajawahi kula tena .Duh nasikitika sana.
Enyi wanalindi, Mtwara , Singida, Dodoma , Pwani( BAgamoyo) Tabora....... hamjasikia Mfalme akiwaitieni makate huko nje ya tembe zenu mnakokaribia kufa kwa njaa. Amkeni mkale mkate mpate kuendelea angalau kuishi . Eti mgonjwa mahututi anakataa drip? Inasikitisha kweli kweli
asaleeeee!!
kwa jinsi nisivyompenda huyo mama yaani nitafurahi sana wakimbwaga chini
muone na kitambaa chake kichwani!!
Ni vizuri kuishi kwa matumaini...!Huyu usiyempenda na kitambaa chake ndiye mwenye kupendwa na wengi Arusha na mmoja wa mawaziri hodari na makini. Ukweli utaujua Oct 31. Matokeo yakitoka tafadhali kumbuka hii post, hata kama itakuwa inauma sana!
asaleeeee!!
kwa jinsi nisivyompenda huyo mama yaani nitafurahi sana wakimbwaga chini
muone na kitambaa chake kichwani!!