Elections 2010 Hooray...Arusha Imeshakombolewa!

Elections 2010 Hooray...Arusha Imeshakombolewa!

Nilichofuraharia ni jinsi gani Polisi walitoa ushirikiano . Ustaarabu huja namna hii. Keep on like that and never engage yourself in vote rigging this time.
 
nimefurahishwa sana na ukombozi wa mikoa mikubwa km mwanza, mara, kilimanjaro, arusha, hope dar pia(japo fifty fifty), God is Great
 
attachment.php
 
baada ya mimi kumchagua DK SLAA,HALIMA MDEE,NA DIWANI WAO WA CHADEMA nitakuwa hapo JJ namshughulikia yule ''mdudu'' na grants kwa wingi sana:smile-big:

KARIBU SANA

Nakushauri usiende hapo JJ, you will spoil your day. Mwenye hiyo Bar, akishalewa huwa anafukuza wateja, anafunga Bar kisha ana ejoy na mkewe.
 
Arusha na Kilimajaro wala thithiemu wasipoteze muda wajaribu lindi na Mtwara labda!

genekai umenikumbusha ile kitu inaitwa VISIOUS CIRLCE OF POVERTY.

Ile mikoa maskini zaidi ndiyo inayoongoza kwa elimu duni afya mabaya na mimba za wanafunzi kibao ndio mikoa inayokumbatia hao waliowafikisha hapo walipo yaani CCM . Ajabu ni kwamba wanataka tuu kuichagua CCM maana yake ni kwamba hawatapata elimu bora kwa miaka mitano ijayo, mimba shuleni zitaongezeka mara 5 sababu ya ufukara, vifo vitaongezeka mara 5 sababu ya huduma mbaya za afya, Tembe zao (Nyumba ) zitaongezeka mara 5 sababu hawawezi kujenga zilizo bora , umaskini wao utaongezeka mara 5 na wataendelea kuishabikia CCM kwa miaka 5 tena kuanzia 2015.

Jamani duniani hamna kitu mabaya kama umaskini na vita ya kujtoa humo ni ngumu kuliko vita ya msituni. Si mnaona hata wakiambiwa watapewa mkate bure wanakataa maana hawaamini? Hawajawahi kula tena .Duh nasikitika sana.

Enyi wanalindi, Mtwara , Singida, Dodoma , Pwani( BAgamoyo) Tabora....... hamjasikia Mfalme akiwaitieni makate huko nje ya tembe zenu mnakokaribia kufa kwa njaa. Amkeni mkale mkate mpate kuendelea angalau kuishi . Eti mgonjwa mahututi anakataa drip? Inasikitisha kweli kweli
 
Heshima kwako PakaJimmy,

Niko sana mkuu nilikuwepo kwenye mkutano nikawaida yangu kuhudhuria mikutano ya wagombea wote.Nimefurahia kauli yako kwamba Arusha imekombolewa ni jambo zuri ila usisahau mara zote historia ni mwalimu mzuri!.

The Following User Say Thank You to Ngongo For This Useful Post:

Mwita Maranya (Today)​
 
Nakushauri usiende hapo JJ, you will spoil your day. Mwenye hiyo Bar, akishalewa huwa anafukuza wateja, anafunga Bar kisha ana ejoy na mkewe.
ha ha ha!
kumbe mzee urrasa ni mkorofi hivyo aisee?
 
genekai umenikumbusha ile kitu inaitwa VISIOUS CIRLCE OF POVERTY.

Ile mikoa maskini zaidi ndiyo inayoongoza kwa elimu duni afya mabaya na mimba za wanafunzi kibao ndio mikoa inayokumbatia hao waliowafikisha hapo walipo yaani CCM . Ajabu ni kwamba wanataka tuu kuichagua CCM maana yake ni kwamba hawatapata elimu bora kwa miaka mitano ijayo, mimba shuleni zitaongezeka mara 5 sababu ya ufukara, vifo vitaongezeka mara 5 sababu ya huduma mbaya za afya, Tembe zao (Nyumba ) zitaongezeka mara 5 sababu hawawezi kujenga zilizo bora , umaskini wao utaongezeka mara 5 na wataendelea kuishabikia CCM kwa miaka 5 tena kuanzia 2015.

Jamani duniani hamna kitu mabaya kama umaskini na vita ya kujtoa humo ni ngumu kuliko vita ya msituni. Si mnaona hata wakiambiwa watapewa mkate bure wanakataa maana hawaamini? Hawajawahi kula tena .Duh nasikitika sana.

Enyi wanalindi, Mtwara , Singida, Dodoma , Pwani( BAgamoyo) Tabora....... hamjasikia Mfalme akiwaitieni makate huko nje ya tembe zenu mnakokaribia kufa kwa njaa. Amkeni mkale mkate mpate kuendelea angalau kuishi . Eti mgonjwa mahututi anakataa drip? Inasikitisha kweli kweli
Wanasema hata mtu anapoelekea umauti haaangalii nyuma, anakaza mwendo tu bila kujua kesi yake itakuwaje huko!...Elimu ni kila kitu, na ukiikosa unabaki kama zuzu, huelewi unakoelekea,...inatisha hii!
 
Naanza kupata mwanga wa alama za nyakati ambazo nilikuwa nazisoma kwa muda mrefu.

Mungu anijaalie afya ya kuweza kuyaona mabadiliko haya pamoja na watanzania wenzangu wapenda mabadiliko.
 
jamani TF hiyo avatar yako ,,,,mhhmhh hachokii?????
 
Khaaa PJ,

Hiyo Nyomi ni kubwa baraaaaaaaa maaana ugelipata mahali ukaichukuwa kwa juu kama kwa hapo nyuma ya hayo magorofa uka panda juu ingepatikana boooonge ya Picture ya Arusha mahudhurio ya wasilizaji sera za CHADEMA. Hiyo Idadi ya watu ni kama vile uwanja mzima wa nyamagana wote umejaaaaa fulu
 
asaleeeee!!
kwa jinsi nisivyompenda huyo mama yaani nitafurahi sana wakimbwaga chini

muone na kitambaa chake kichwani!!

Huyu usiyempenda na kitambaa chake ndiye mwenye kupendwa na wengi Arusha na mmoja wa mawaziri hodari na makini. Ukweli utaujua Oct 31. Matokeo yakitoka tafadhali kumbuka hii post, hata kama itakuwa inauma sana!
 
Ni vizuri kuishi kwa matumaini...!
Binadamu mwenye hasara kabisa ni yule aliyepoteza hadi matumaini!
So idont blame you!...na Salma JK amewasili leo kuja kumtundika dripu mama yenu AMBAYE YUKO icu!!
 
jamani si Arusha tu ila Tanzania imekombolewa wanaokataa mabadiliko siwatanazania la niwale wanaopata kitu kutoka CCM yaani wala Nchi wezi wenye ajenda yao yasiri
 
asaleeeee!!
kwa jinsi nisivyompenda huyo mama yaani nitafurahi sana wakimbwaga chini

muone na kitambaa chake kichwani!!

Acha ujuha huo. Huyo mke wa mtu ana sababu yoyote ya kupendwa na wewe zaidi ya mumewe.Umchukie usimchukie, Shemeji etu ni MBUNGE TU.
 
Nilikuwepo jana kwenye mkutano hapo NMC. Hakika jana hata mimi nilijua tu Arusha imefanya uamuzi tayari na DK. Batilda hana la kufanya zaidi ya kukubali matokeo
 
Back
Top Bottom