Kama wewe ndiye mpiga picha au ndugu yake,mtaniwia radhi kwa lugha kali jinsi hii.
Nimeona ukichagua picha za watu unaodhani hawaendani na mafundisho ya wasabato unazikuza ili watu waone vizuri.
Ninafuatilia tangu Jana na nimeona kuna baadhi ya wadada wakiwa wamesuka dreads za maana ukiwasogeza kwenye screen kila Mara.
Kama vile haitoshi,kuna mama mwimba kwaya anaonekana aliwahi kutumia vipodozi hatari kwa ngozi hadi ngozi inaonekana kuwa na wekundu sehemu za usoni,una mzoom kila wakati.
Naomba nikuulize,je iwapo mtu alikuwa kwenye imani tofauti isiyokemea mambo hayo. ya urembo,halafu akajiunga na usabato,huoni unachofanya ni kujaribu kuwafanya watu watukane kwamba mnajidai mnapinga vitu hivyo wakati waumini wenu wanavifanya?
Jana kuna mchungaji wakati akihubiri alitoa kisa kwamba alikutana na muislam mmoja yule nwislam alimweleza kuwa angekuwa hajaoa angeoa msabato kwa kuwa ndio waliobaki na uasili wao.
Wakati akisema hayo wewe kazi yako kuwatazamisha watu watu wachache ambao hawaendani na misimamo hiyo!
Kitendo hicho ni uhuni kwani unaaibisha watu ( yule mama aliyekuwa akijicrim) ambaye kwa sasa anaonekana aliacha na anatibia ngozi yake ila madhara yanaonekana wazi bado,una mzoom ili iweje?
Unaaibisha wasabato wenzio wakiwemo wachungaji wako wanaojinasibu kuwa wasichana wao wana uasili.
Mpiga picha jitahidi kulinda brand badala ya kuleta watu wachache wasioendana na maadili yenu unawatangaza dunia nzima na sina uhakika kama wao watapenda kuanikwa kiasi hicho