OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Naombeni mnijuze wanashughulika na nini?je hii cyo kampuni ya kuuza mabeseni kitaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niliomba kazi kwao wakanipigia simu kuwa nimepata kazi ila km siwaelewielwi vileeeeeeee
Aaa h mkuu,hizo mazarau ss , ku .za mabeseni kitaa tena?Naombeni mnijuze wanashughulika na nini?je hii cyo kampuni ya kuuza mabeseni kitaa?
Mkuu kazi za commission mimi nimefanya sio nzuri , hakuna tofauti na kuuza beseni kitaa .hawa jamaa wanafanya kazi za consultancy,me juzi katika kupita pita kwenye mtandao nikaona tangazo lao la kazi wanaitaji regional,district coordinator na marketing manager nikatupia application jamaa wakanipigia simu wakaniuliza utaweza kufanya kazi nikawaambia ndiyo,basi kesho yake wakanitumia mkataba wa kazi pamoja na sample ya plan nioyeshe naplan nini cha kufanya baada ya hapo nisaini ule mkataba nitume pamoja na ile plan nitakayo ifanya,kaka kwenye malipo sasa wanakupa commission.Kifupi unatakiwa kuwatafutia wateja ambao watawapatia ushauri wa kibiashara na nk ukipata unagonga commission