Hormone imbalance

Hormone imbalance

ora

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,198
Reaction score
1,126
Habari zenu!!
Hospitali gani wanapima hormone ?
na kwa garama gani?

msaada tafadhali
 
Nitafute nikuelekeze, pole sana

Si uelekeze hapa hapa kwa uwazi. Kuna usiri gani kwenye hilo?

Hizi nyuzi zinasomwa na watu wengi. Unapoweka jibu hapa linabakia kuwa public, litasaidia na wengine wenye same need kama ya mleta mada.

JF inasaidia sana watu. Ni kwa sababu mambo yanajadiliwa hapa hadharani.

Unashindwa nini kumuelekezea hapa hapa? huko PM unataka umtambikie eeh?

Watu kama nyie huwa mnakera sana. Ubinafsi tu na harufu ya utapeli.

-Kaveli-
 
Sawa mkuu, mwenye tatizo nimeshamuelekeza tayari
 
Ndiyo umejibu nini sasa! Ni kweli kabisa hujaelewa hicho nilichocoment?

Hebu soma tena hiyo coment yangu, alafu angalia jinsi ulivyojibu.

-Kaveli-
 
Hapo safi. Jibu hilo litasaidia wasomaji wengine wengi wenye shida kama ya mleta mada.

Sasa dada Omerta hebu njoo pm tusalimiane kidogo Mkuu.

-Kaveli-

Threads zinazoelekeza hizo zipo nyingi sana humu ndio maana sikuoni umuhimu wa kuandika humu.

Niombe radhi, hapa unaongea na dume la mbegu.

Hlf Google Omerta ni nini!?
 
Ooh my sincere apologies kwa hilo Mkuu, jina lako linasound kike, that's why likanimisslead. Am sorry bro.

Unfortunately, I am allergic to Google thing. So wewe nitafunie tu unieleze hapa maana ya hilo jina lako 'omerta'.

Hata kama zipo nyuzi nyingi humu on the same topic, yeye hajaziona na ndio maana akauliza kwa huu uzi wake. By the way, ili kujustify hicho unachosema, basi ungempa link ya hizo nyuzi hapa hapa ili akazisome.

Uwe na siku njema Mkuu. Atmosphere cleared.

-Kaveli-
 
sio vibaya kusaidia publicly mkuu.nadhani ingekuwa busara ungetoa majibu(kama unayo) hapa wazi tuyaone wote. halafu uwepo wa nyuzi nyingi zenye mada hiyo sio sababu coz sio wote wanashinda humu jf.then nyuzi zinaandikwa kila baada ya sekunde.huoni kama huwatendei haki baadhi ya watu?
just my opinion
 
Kwa mwanza ni mwananchi hospital.... Kwa upande wa garama ya kipimo hiki mwaka Jana kuna rafiki angu mmoja alienda akaambiwa ni elfu stini na saba....so kwa sasa sijui kama kimepanda au vipi
 
thank you miss kwa uzalendo na roho nzuri
 
Threads zinazoelekeza hizo zipo nyingi sana humu ndio maana sikuoni umuhimu wa kuandika humu.

Niombe radhi, hapa unaongea na dume la mbegu.

Hlf Google Omerta ni nini!?

Nilikuwa nasubiri mnyukano hapa,

Ha ha ha mkuu Kaveli unamshika makalio bouncer wa Bills eeh!
 
sio vibaya kusaidia publicly mkuu.nadhani ingekuwa busara ungetoa majibu(kama unayo) hapa wazi tuyaone wote. halafu uwepo wa nyuzi nyingi zenye mada hiyo sio sababu coz sio wote wanashinda humu jf.then nyuzi zinaandikwa kila baada ya sekunde.huoni kama huwatendei haki baadhi ya watu?
just my opinion

Mkuu ni vizuri kujifunza kutumia jf vizuri ili kuepusha minyukano isiyo na maana.

Mosi nimeshatoa majibu hapo juu anaweza kupata wapi hicho kipimo.

Pili hebu shuka mwisho kabisa wa hii thread, utaona orodha ya threads zilizopo chini ya title SIMILAR THREADS
 
Kwa mwanza ni mwananchi hospital.... Kwa upande wa garama ya kipimo hiki mwaka Jana kuna rafiki angu mmoja alienda akaambiwa ni elfu stini na saba....so kwa sasa sijui kama kimepanda au vipi

Bei inategemea na Panel ya hospitali inapima hormones zipi na ngapi, inategemea na Daktari aliyeandika anataka kupima..... Huwezi kupima hormone levels zote za mwili
 
Mkuu ni vizuri kujifunza kutumia jf vizuri ili kuepusha minyukano isiyo na maana.

Mosi nimeshatoa majibu hapo juu anaweza kupata wapi hicho kipimo.

Pili hebu shuka mwisho kabisa wa hii thread, utaona orodha ya threads zilizopo chini ya title SIMILAR THREADS
sawa mkuu nimekusoma.huoni sasa umenielewesha mambo imekuwa poa
 
Nilikuwa nasubiri mnyukano hapa,

Ha ha ha mkuu Kaveli unamshika makalio bouncer wa Bills eeh!

Hahahaa hataree sana Mkuu. Jina la 'omerta' limenimisslead mpaka nikamuotesha matiti kaka wa watu. Daah

-Kaveli-
 
Bei inategemea na Panel ya hospitali inapima hormones zipi na ngapi, inategemea na Daktari aliyeandika anataka kupima..... Huwezi kupima hormone levels zote za mwili
Shukrani mkuu kwa kuongezea....lakini Mimi nimetoa jibu ambalo alipewa rafiki angu niliyemsindikiza hospital ...tulifika hospitali ya secouture akapimwa alikua na tatizo Fulani akaambiwa inaeza kua anasumbuliwa na hormonal imbalance...so tukaandikiwa twende mwananchi hospital ndipo kipimo kinapopatikana...kufika pale kuulizia tukaambiwa hiyo bei....tukarudi nakurudi kwasababu nakumbuka tulitokea shuleni...... Hela ilikua haitoshi..
 
Hahahaa hataree sana Mkuu. Jina la 'omerta' limenimisslead mpaka nikamuotesha matiti kaka wa watu. Daah

-Kaveli-

Ha ha ha! Kama nakuona vile.

Omerta, ukisoma vitabu vya Mario Puzzo story za Mafia utakutana na hili neno, wanaiita Code of Silence.

Vitabu kama The Godfather, Omerta, Fools Die, The Sicilian, The Last Don etc
 
Back
Top Bottom