Sasa hiki ndo ulitakiwa kumjibu mleta mada right away, ama kumtajia majina ya hospitals kabisa moja kwa moja. Huo ndiyo utamaduni wetu hapa JF.
Mtu ana shida alafu wewe fasta unakimbilia kumvuta PM. Unataka kuficha nini huko uchochoroni? Halafu imagine kila mada humu JF watu wawe wanapewa majibu huko PM, itakuwaje? JF Motto: "Where We Dare To Talk Openly".
Alafu don't think kwamba kila mleta mada humu yupo very familiar with all JF particulars ajue SIMILAR THREADS zilipo.
By the way, hata hizo 'similar threads' wakati mwingine zinakuwa helpless coz juzi sio leo, mwaka jana sio mwaka huu. Things change. Things get updated kila kukicha. Pengine labda leo hii kuna vipimo vya hormones ambavyo ni more advanced kuliko facilities za mwaka jana. Au yawezekana leo hii kuna hospitals fulani za kisasa zaidi kuhusu hormones kuliko hospitals za toka mwaka juzi.
Mfano: Mtu anayeleta uzi humu JF leo hii mwaka 2016 kuulizia treatment ya Hepatitis B/C, atapata majibu tofauti na yule aliyeleta uzi humu JF mwaka 2005 on the same Hepatitis B/C. Mambo yanabadilika sana. Jitahidi kumjibu mtu as per the current moment/happenings. Kama jibu unalo, basi msaidie mtu instantly, na sio kumuambia eti akasome similar threads.
The bottom line is... unapoweka useful information hapa publicly, unakuwa umesaidia na wasomaji wengine wenye the same need.
Hopefully you get my point!
-Kaveli-