Hormone imbalance

Ha ha ha! Kama nakuona vile.

Omerta, ukisoma vitabu vya Mario Puzzo story za Mafia utakutana na hili neno, wanaiita Code of Silence.

Vitabu kama The Godfather, Omerta, Fools Die, The Sicilian, The Last Don etc
Yes it's true
 
Ha ha ha! Kama nakuona vile.

Omerta, ukisoma vitabu vya Mario Puzzo story za Mafia utakutana na hili neno, wanaiita Code of Silence.

Vitabu kama The Godfather, Omerta, Fools Die, The Sicilian, The Last Don etc

You are talking my Language mkuu, hakuna mwanamama anayeweza kusoma hizo novel au kuangalia movies zake. Hizi ni more likely of the men things
 
Pili hebu shuka mwisho kabisa wa hii thread, utaona orodha ya threads zilizopo chini ya title SIMILAR THREADS


Sasa hiki ndo ulitakiwa kumjibu mleta mada right away, ama kumtajia majina ya hospitals kabisa moja kwa moja. Huo ndiyo utamaduni wetu hapa JF.

Mtu ana shida alafu wewe fasta unakimbilia kumvuta PM. Unataka kuficha nini huko uchochoroni? Halafu imagine kila mada humu JF watu wawe wanapewa majibu huko PM, itakuwaje? JF Motto: "Where We Dare To Talk Openly".

Alafu don't think kwamba kila mleta mada humu yupo very familiar with all JF particulars ajue SIMILAR THREADS zilipo.

By the way, hata hizo 'similar threads' wakati mwingine zinakuwa helpless coz juzi sio leo, mwaka jana sio mwaka huu. Things change. Things get updated kila kukicha. Pengine labda leo hii kuna vipimo vya hormones ambavyo ni more advanced kuliko facilities za mwaka jana. Au yawezekana leo hii kuna hospitals fulani za kisasa zaidi kuhusu hormones kuliko hospitals za toka mwaka juzi.

Mfano: Mtu anayeleta uzi humu JF leo hii mwaka 2016 kuulizia treatment ya Hepatitis B/C, atapata majibu tofauti na yule aliyeleta uzi humu JF mwaka 2005 on the same Hepatitis B/C. Mambo yanabadilika sana. Jitahidi kumjibu mtu as per the current moment/happenings. Kama jibu unalo, basi msaidie mtu instantly, na sio kumuambia eti akasome similar threads.

The bottom line is... unapoweka useful information hapa publicly, unakuwa umesaidia na wasomaji wengine wenye the same need.

Hopefully you get my point!

-Kaveli-
 


Uzuri alishakuja pm nikamsaidia na bado naendelea kumshauri, siyo kila kitu kinaweza kuwekwa wazi humu.

Nadhani Tufunge mjadala huu kati yetu, nina uhuru wa kushauri kwa kadri nionavyo. Hata wewe una uhuru huo pia.

Mawazo yako pia yapo sahihi kulingana na akili yako inavyokuelekeza.

Aksante sana
 
Ha ha ha! Kama nakuona vile.

Omerta, ukisoma vitabu vya Mario Puzzo story za Mafia utakutana na hili neno, wanaiita Code of Silence.

Vitabu kama The Godfather, Omerta, Fools Die, The Sicilian, The Last Don etc


Daaah Mkuu, sie wa uswazi na novel/movie... wapi na wapi !

Sie tueleze majina ya wacheza ndondo za mchangani ndo tutaenda sawa.

-Kaveli-
 
Daaah Mkuu, sie wa uswazi na novel/movie... wapi na wapi !

Sie tueleze majina ya wacheza ndondo za mchangani ndo tutaenda sawa.

-Kaveli-

Uswazi mbona ndo kwenye movie za ukweli!

Kina Komando Rambo, Anodi Swaziniga, Komando Kipensi, Jet Li, Jaki Sheni na Baba lao Bruce Lee si ndo maarufu Uswazi?

Achana na hizi movie siku hizi madogo wanaenda kuangalia huku wanatafuna bisi hafu hata kama movie ni mbaya eti anasema "Oooh my gosh, it's a nice movie!", kumba anaona aibu kusema ukweli.
 


Hahahaaa Mkuu, watoto wa kota hao na watoto wa mafletini, "ooh my gosh" nyiiiingi na bisi mkononi.

Wakati uswazini sie tunazama kwenye banda la kideo na kandoro mkononi ya kulainisha koo. Afu hapo nje ya banda hapakosi mahindi ya kuchoma with pilipili na ndimu za kuchachua. Hapo hamna cha ooh my gosh wala nini, humo ni mwendo wa kujambiana tu na kujipepea shati huku tukiburudishwa na tafsiri za akina rufufu(R.I.P), fiksi kibao ila raia hawanyanyuki hata upige filimbi.

Mkuu nilimaanisha hizo movie zinazotokana na novel. Hizo ni za kwenu huko ushuani mboga saba menyu draft.

Sie huku uswazini tuna movie zetu bhana, za kinyambisi jamii ya akina komando kipensi, Vandame, Rambo, Wesley Snipes, Jason Statham, and the like.

Huku kwetu ukileta hizo movie zenu intelligency/spy related, banda litadoda!

Kidooogo movies za Jason Bourne huwa tunanata na beat.

-Kaveli-
 
Kidooogo movies za Jason Bourne huwa tunanata na beat.

-Kaveli-

Nilianzaga utaratibu wa kusoma Novel ambazo zina movie na ku-relate na movie husika, mara nyingi sana nimekuwa naona movie ziko watered sana ukilinganisha na novel husika.

Mfano ukisoma novel za hii series ya Jason Bourne utaona jamaa walivyoichakachua movie, yaani novel ni kali mara hata tatu ya movie yenyewe!

'Alpha, Bravo, Cain, Delta ... Cain is for Carlos and Delta is for Cain.'

Jaribu man, ni nzuri kweli kupitia baadhi ya novel hasa kama umeshaiona movie, au some novel then angalia movie.
 


Mkuu, frankly speaking... action movies ndiyo my foremost hobby!

Ila kwenye novel... mmh hapo mtihani kaka. Am very stressed na life, maisha ya uswazi kuungaunga, jua linachwea huna uhakika kesho utaanzia wapi! Hapo nitapata wapi appetite ya kusoma novel. hahahaa.

May be in future nikishapata 'maisha' , I will develop passion for Novel.

Cheers bro.

-Kaveli-
 

Nimekusoma kaka,

Cheers!
 
Kwa mwanza ni mwananchi hospital.... Kwa upande wa garama ya kipimo hiki mwaka Jana kuna rafiki angu mmoja alienda akaambiwa ni elfu stini na saba....so kwa sasa sijui kama kimepanda au vipi
asante kwa majibu
niko Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…