Horned Melon(Kiwano) tunda la biashara na biashara, ila hatujui

Horned Melon(Kiwano) tunda la biashara na biashara, ila hatujui

They don't Walk The talk.
Unataka nini? Hii forum ni ya kutoa elimu sotuache kwa sababu hamfurahii? unataka post za kukufurahisha wewe? Ukiona post haikuvutiii achana nayo au anzisha yako ya kukufurahisha.
 
Inaelekea motivational speakers hawathaminiki Tanzania wakati huko dunianai wanalipwa ghali sana.
Jamiiforum wananilipa unatakaje?
IMG-20231206-WA0001.jpg
 
Asante Motivational speaker.
Ninefuatilia post zako naona umejawa na negativities nyingi sana,shida nini akiwa Motivation spiker? Unaelekea kuwa mchawi kwa sababu hatua zingine usha vuka kama unafiki,wivu na nyinginezo.
 
Ninefuatilia post zako naona umejawa na negativities nyingi sana,shida nini akiwa Motivation spiker? Unaelekea kuwa mchawi kwa sababu hatua zingine usha vuka kama unafiki,wivu na nyinginezo.
Wala hujakosea,Mimi Ni mchawi na wewe ndio yule mke wangu ambae hua tunapaa wote usiku.
 
Wajinga kama nyie huwa hamkosekanagi humu,
Tanzania tuna fursa nyingi sana ila basi tu. Tumelala. Tuna uwezo wa ku-contribute kuilisha dunia kwa asilimia kubwa. Tungefanya kilimo kiwe ndicho ''mafuta'' yetu kama waarabu walivyofanya, tungefika mbali. Na uzuri ni kuwa kilimo hakihitaji utaalam na capital kubwa.
 
Back
Top Bottom