Horoya ni kama wamekuja tu kukamilisha ratiba

Horoya ni kama wamekuja tu kukamilisha ratiba

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Daikka hizi za mwanzo kabisa zinanifanya niamini hawa Horoya hawawezi kushinda hii mechi zaidi ya kupoteza tena kwa kufungwa magoli mawili na kuendelea

Makolo hii mechi ni yenu unless Horoya wanabadfilika.
 
na Nyie Vyura Kesho Najua Mnampiga Mtu si chini ya 3![emoji12]
Munastir atapigwa 3
 
Yanga imeshindwa kufika hata hayo makundi tu 😅😅😅
 
Endeleni kubadilisha maneno, lakini kazi mnayo kwa mwarabu hapo kesho.

......Simba SC 7 -0 Horoya......
 
Mkitaka kuzima hizi sauti za mnyama zisisikike, kesho mumkimbize mwarabu afe, najua huu ushindi wa Simba leo utakuwa motisha kwenu kesho..
 
Back
Top Bottom