Horoya ni kama wamekuja tu kukamilisha ratiba

Horoya ni kama wamekuja tu kukamilisha ratiba

Mkitaka kuzima hizi sauti za mnyama zisisikike, kesho mumkimbize mwarabu afe, najua huu ushindi wa Simba leo utakuwa motisha kwenu kesho..
Yanga aliofanya kosa kutowafunga Bamako kule kwao. Hawa Monastir sio timu ya kubeza kabisa.
 
Daikka hizi za mwanzo kabisa zinanifanya niamini hawa Horoya hawawezi kushinda hii mechi zaidi ya kupoteza tena kwa kufungwa magoli mawili na kuendelea

Makolo hii mechi ni yenu unless Horoya wanabadfilika.
Mechi dhidi ya Raja kule Guinea iliwaharibia kila kitu, wachezaji watatu wamekosekana akiwepo kipa wao, kocha mkuu nae kala kadi nyekundu
 
Daikka hizi za mwanzo kabisa zinanifanya niamini hawa Horoya hawawezi kushinda hii mechi zaidi ya kupoteza tena kwa kufungwa magoli mawili na kuendelea

Makolo hii mechi ni yenu unless Horoya wanabadfilika.

Toka first leg walivoshinda kwa bahati…. Nilijua hawa hawawezi sumbua mahakama kwa mkapa
Hii timu haiwezi kupiga hata pasi kumi
 
Toka first leg walivoshinda kwa bahati…. Nilijua hawa hawawezi sumbua mahakama kwa mkapa
Hii timu haiwezi kupiga hata pasi kumi
Dakika nane tu za mwanzo zilitosha kuonyesha hii timu haiwezi kutoa ushindani kwenye hii mechi.
 
Hao ni mabingwa huko kwao, kuwa na heshima, kama wamezidiwa sema kwa sauti Simba babalao, usione aibu.
Mabingwa wa kuuza mbege labda, unaweza kuwa bingwa kwako lakini ukawa bingwa miongoni mwa wabovu tambua ilo
 
Kadri muda unavyoenda, hawa jamaa naona wanabadilika, msipokuwa makini wanaweza kuwaotea bao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaa wee khaaaah
 
Naona huwa hamuelewi haya nawambia tena SIMBA HATA IWE MBOVU VIPI,KWENDA ROBO FAINALI NI LAZIMA.
 
Wale ni waarabu sio horoya wa kufunga goli 7, kaa kwa kutulia mechi itakuwa ngumu na nzuri sana kuitazama, ni mechi ya wanaume wa shoka
Wanaume wa shoka wako klabu bingwa,acha kuongea takataka
 
Sisi kwetu robo fainali tushaichukuliq kama ni group stage tu...lazma kwenda hata kwa kikosi B ...ila Kuna mwngine huko ana an aversary ya mia 25 anaishia grp stage tu champ ligue
 
Wale ni waarabu sio horoya wa kufunga goli 7, kaa kwa kutulia mechi itakuwa ngumu na nzuri sana kuitazama, ni mechi ya wanaume wa shoka
Simba keshawagonga waarabu kibao hapo taifa, hatutaki visingizio vya kidada.
 
Back
Top Bottom