Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #21
Yanga aliofanya kosa kutowafunga Bamako kule kwao. Hawa Monastir sio timu ya kubeza kabisa.Mkitaka kuzima hizi sauti za mnyama zisisikike, kesho mumkimbize mwarabu afe, najua huu ushindi wa Simba leo utakuwa motisha kwenu kesho..
Mechi dhidi ya Raja kule Guinea iliwaharibia kila kitu, wachezaji watatu wamekosekana akiwepo kipa wao, kocha mkuu nae kala kadi nyekunduDaikka hizi za mwanzo kabisa zinanifanya niamini hawa Horoya hawawezi kushinda hii mechi zaidi ya kupoteza tena kwa kufungwa magoli mawili na kuendelea
Makolo hii mechi ni yenu unless Horoya wanabadfilika.
Wana bahati mbaya sana.Mechi dhidi ya Raja kule Guinea iliwaharibia kila kitu, wachezaji watatu wamekosekana akiwepo kipa wao, kocha mkuu nae kala kadi nyekundu
Daikka hizi za mwanzo kabisa zinanifanya niamini hawa Horoya hawawezi kushinda hii mechi zaidi ya kupoteza tena kwa kufungwa magoli mawili na kuendelea
Makolo hii mechi ni yenu unless Horoya wanabadfilika.
Dakika nane tu za mwanzo zilitosha kuonyesha hii timu haiwezi kutoa ushindani kwenye hii mechi.Toka first leg walivoshinda kwa bahati…. Nilijua hawa hawawezi sumbua mahakama kwa mkapa
Hii timu haiwezi kupiga hata pasi kumi
Dakika nane tu za mwanzo zilitosha kuonyesha hii timu haiwezi kutoa ushindani kwenye hii mechi.
Mabingwa wa kuuza mbege labda, unaweza kuwa bingwa kwako lakini ukawa bingwa miongoni mwa wabovu tambua iloHao ni mabingwa huko kwao, kuwa na heshima, kama wamezidiwa sema kwa sauti Simba babalao, usione aibu.
Wale ni waarabu sio horoya wa kufunga goli 7, kaa kwa kutulia mechi itakuwa ngumu na nzuri sana kuitazama, ni mechi ya wanaume wa shokana Nyie Vyura Kesho Najua Mnampiga Mtu si chini ya 3![emoji12]
Munastir atapigwa 3
Ndiwooooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba kweny champions league kama Real Madrid akiwa benarbeu utafungwa tu Ata Kwa ngombe kuchinjwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaa wee khaaaahKadri muda unavyoenda, hawa jamaa naona wanabadilika, msipokuwa makini wanaweza kuwaotea bao
Wanaume wa shoka wako klabu bingwa,acha kuongea takatakaWale ni waarabu sio horoya wa kufunga goli 7, kaa kwa kutulia mechi itakuwa ngumu na nzuri sana kuitazama, ni mechi ya wanaume wa shoka
Utopolo unajisema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mabingwa wa kuuza mbege labda, unaweza kuwa bingwa kwako lakini ukawa bingwa miongoni mwa wabovu tambua ilo
Simba keshawagonga waarabu kibao hapo taifa, hatutaki visingizio vya kidada.Wale ni waarabu sio horoya wa kufunga goli 7, kaa kwa kutulia mechi itakuwa ngumu na nzuri sana kuitazama, ni mechi ya wanaume wa shoka