Horoya wamebadilika mno dhidi ya Raja Casablanca

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Nachelewa kusema wale waliotufunga goli moja sio hawa, ila nafsi inasita.

Jamaa wanakaba mno, wameweka viungo kama wote katikati. inaonekana wamedhamiria kutoa suluhu, ngoja tuwape muda mana hii ni dk 41 bado zero zero.

Hawa Horoya huenda wakija kwa Mkapa wakaweka makipa wawili na mabeki 8 na mshambuliaji mmoja.
 
Kupata point moja Morocco sio rahisi, kikubwa wajipange tu kwenda kuzisaka point tatu kwenye mechi ya marudiano.
 
Nachelewa kusema wale waliotufunga goli moja sio hawa, ila nafsi inasita.

Jamaa wanakaba mno, wameweka viungo kama wote katikati. inaonekana wamedhamiria kutoa suluhu, ngoja tuwape muda mana hii ni dk 41 bado zero zero.

Hawa Horoya huenda wakija kwa Mkapa wakaweka makipa wawili na mabeki 8 na mshambuliaji mmoja.

Vip baada ya dk 90 bdo zero zero au
 
Back
Top Bottom