je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Nachelewa kusema wale waliotufunga goli moja sio hawa, ila nafsi inasita.
Jamaa wanakaba mno, wameweka viungo kama wote katikati. inaonekana wamedhamiria kutoa suluhu, ngoja tuwape muda mana hii ni dk 41 bado zero zero.
Hawa Horoya huenda wakija kwa Mkapa wakaweka makipa wawili na mabeki 8 na mshambuliaji mmoja.