Mifano mizuri hii ya kujifunza!
Kitu kimoja napenda kuweka sawa, DPP hana mamlaka ya kuchunguza. Hafanyi uchunguzi, yeye anatakiwa kuangalia uchunguzi na ushahidi na kuamua kama kuna kesi na kuendesha mashitaka. DPP Hachunguzi kabisa na Katiba haimtaki kuchunguza..........
Nikianza na hili binafsi kushindwa kubaini udhaifu kwa TAKUKURU litakuwa kosa tu pale itakapo thibitika beyond reasonable doubts kwamba walifanya uzembe katika kazi yao ya kuchunguza. Nadhani wanaiita proof on negligence (mtanisaidia wataalaam). Na hii ku toa ushaidi yaweza kuwa ni ngumu sana. Kwa mawazo yangu nadhani ndio imepelekea serikali kutomchukulia hatua. Hi ni kwa mfano dakitari akifanya upasuaji mtu kichwa alafu huyo mtu akafariki, ili huyu mtu awe na kosa lazima kuwe na ushahidi madhubuti kuwa daktari alifanya uzembe katika upasuaji. Kitu ambacho mara nyingi ni vigumu. Takukuru kama wakaguzi wengine au wachunguzi hutumia sample na available information. So if at that time uchunguzi unafanyika hawakupewa enough infos then wangeconclude vile na wasiweze kuwa hatiani hata kama baadae information zaidi zitajulikana na zikafanya ile conclusion yao ya awali kuwa tofauti.
hebu tuwe wakeli katika hili. ni kazi yao takukuru kuchunguza tuhuma zozote dhidi ya mtu yeyote anayetuhumiwa kuhusika kwa njia moja au nyingine na rushwa au kwa jina la siku hizi ufisadi. kwa hiyo waacheni takukuru wachunguze.
ni makosa kama sisi raia tutawakingia kifua wabunge fulani au watu fulani kwa sababu tu tunawapenda. tusiajali mapenzi yetu hapa. kila mla rushwa awe zitto, slaa, mbowe au hamad na juma duni haji wake wachunguzwe tu, mbaya kumwonea mtu.
tutakuwa tunaweka precedent mbaya kama tutang'angania akina mkapa, lowassa, rostam, manji, yona na jeetu pateli peke yao ndio wachunguzwe tu. tuwe na uchungu na mali yetu badala ya kuchagua nani awe na kibali cha kutuibia na asichunguzwe na nani aibe na achunguzwe!
lovulovu
Zitto hapa umesema kitu kimoja ambacho huwa kinanisumbua sana; kwanini uchunguzi wa CAG usiwe msingi wa kuleta mashtaka dhidi ya wahusika? Kwanini CAG asipewe mamlaka ya kuleta mashtaka au kuwasilisha ushahidi wake kwa DPP kwa kuleta mashtaka badala ya chombo kingine kuchunguza kilichokwisha chunguzwa hasa kama wote wanaangalia ushahidi ule ule?
Hivi TAKUKURU wakirudi na kusema kuwa hakuna matatizo katika uchunguzi wao (kama walivyofanya kwenye Richmond) ripoti ya CAG itaonekana vipi?
Mimi hapa labda naona mkuu MJJ hapa unaleta vision kwa wasomaji kuwa bwana Hosea hana hatia, that is what you are trying to stipulate, lakini kwa mantiki nyingine mimi naona Bunge haliwezi kumwonea mtu, kwanini kamati fulani imwonee mtu.Rom
halafu mimi naona kuwa kama kwa namna yoyote ile ulishiriki katika kuitia hasara either iwe govermenment au hata familia yako unastahili kuwajibika na wala sio kupewa onyo,
.[/QUOTE]QUOTE=Zitto;543671]TAKUKURU wana wajibu wa kisheria kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma za kwamba Wabunge tumekuwa tukilipwa zaidi ya tunachotakiwa kulipwa kisheria. Wabunge hatuna kinga ya kufanya vitendo vya matumizi mabaya ya fedha za umma na hatua hii ya TAKUKURU itaondoa 'impunity'. Kwamba wanafanya hivi kwa visasi sio kweli. Ni wajibu wao. Uchunguzi huu unafanyika kwa Kamati zote za Bunge na sio hizi tatu peke yake. Hivi kama Mbunge analpwa pesa ili asafiri kwa siku 5, na yeye anasafiri kwa siku moja. CAG anagundua hilo katika ripoti yake, kwa nini TAKUKURU wasichunguze na kufungua mashitaka?
Tuwaache TAKUKURU wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria. Bunge pia tufanye kazi yetu ya kuwasimamia hao TAKUKURU ili watende mema. Hiyo ndio checks and balances
Zitto ndugu yetu, katika private sector, auditor (equivalent to CAG) hutoa findings zake kwa board/ owner (kama vile CAG hutoa kwa Govt na Bunge).
Kama kuna ubadhirifu wowote basi board/owner huamua kuchukua hatua (either kupeleka polisi , kumfukuza kazi, kumsamehe).
Mimi sidhani kuwa PCCB kazi yake ni kupokea findings za CAG na kuzifaniya kazi unless tukubali kuwa machinery yetu inamapungufu mengi na labda huchukulia taarifa za CAG ni hadithi (bedtime stories).
Mbunge amechukua posho ya siku tano na akaenda siku mbili, CAG akagundua, kinachofuata ni kumpa adhabu huyo mbunge na siyo kuita PCCB.
You are bogging down PCCB. Investigators wake could be used somewhere else kufanya kazi ya maana zaidi (bogus contracts) mfano Radar, Military vehicles etc na siyo kwenda Singida kuuliza Zitto alikuja lini na alikaa siku ngapi.
The former head of the state-firm that owns Beijing airport has been executed following his conviction on corruption charges, state media have reported. Li Peiying was found guilty of bribery and embezzlement totalling nearly $16m (£11m), Xinhua news agency said.
Zitto hapa umesema kitu kimoja ambacho huwa kinanisumbua sana; kwanini uchunguzi wa CAG usiwe msingi wa kuleta mashtaka dhidi ya wahusika? Kwanini CAG asipewe mamlaka ya kuleta mashtaka au kuwasilisha ushahidi wake kwa DPP kwa kuleta mashtaka badala ya chombo kingine kuchunguza kilichokwisha chunguzwa hasa kama wote wanaangalia ushahidi ule ule?
Hivi TAKUKURU wakirudi na kusema kuwa hakuna matatizo katika uchunguzi wao (kama walivyofanya kwenye Richmond) ripoti ya CAG itaonekana vipi?
Kama kweli hawa wabunge wetu wanalipwa posho mara mbili mbili kwa ujanja ujanja hiyo sio RUSHWA bali ni WIZI kwahiyo sio kazi ya TAKUKURU kupeleleza bali hayo ni makosa ya jinai na wenye kazi hiyo ni wakina Manumba huko polisi!! If it is true that PCCB is investigating the parliamentary committees then they cannot be doing so independent of directives from IKULU; this being another strategy of getting even with speaker Sitta and his colleagues!!
Zitto ndugu yetu, katika private sector, auditor (equivalent to CAG) hutoa findings zake kwa board/ owner (kama vile CAG hutoa kwa Govt na Bunge).
Kama kuna ubadhirifu wowote basi board/owner huamua kuchukua hatua (either kupeleka polisi , kumfukuza kazi, kumsamehe).
Mimi sidhani kuwa PCCB kazi yake ni kupokea findings za CAG na kuzifaniya kazi unless tukubali kuwa machinery yetu inamapungufu mengi na labda huchukulia taarifa za CAG ni hadithi (bedtime stories).
Mbunge amechukua posho ya siku tano na akaenda siku mbili, CAG akagundua, kinachofuata ni kumpa adhabu huyo mbunge na siyo kuita PCCB.
You are bogging down PCCB. Investigators wake could be used somewhere else kufanya kazi ya maana zaidi (bogus contracts) mfano Radar, Military vehicles etc na siyo kwenda Singida kuuliza Zitto alikuja lini na alikaa siku ngapi.
Confirmed: PCCB Chief investigates lawmakers
By Rodgers Luhwago
9th August 2009
Dr Edward Hosea
Declining to be named citing the sensitivity of the matter, the official said: We started our investigation about a month ago after receiving instructions from the government we are at the advance stage.
SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY