Zitto ndugu yetu, katika private sector, auditor (equivalent to CAG) hutoa findings zake kwa board/ owner (kama vile CAG hutoa kwa Govt na Bunge).
Kama kuna ubadhirifu wowote basi board/owner huamua kuchukua hatua (either kupeleka polisi , kumfukuza kazi, kumsamehe).
Mimi sidhani kuwa PCCB kazi yake ni kupokea findings za CAG na kuzifaniya kazi unless tukubali kuwa machinery yetu inamapungufu mengi na labda huchukulia taarifa za CAG ni hadithi (bedtime stories).
Mbunge amechukua posho ya siku tano na akaenda siku mbili, CAG akagundua, kinachofuata ni kumpa adhabu huyo mbunge na siyo kuita PCCB.
You are bogging down PCCB. Investigators wake could be used somewhere else kufanya kazi ya maana zaidi (bogus contracts) mfano Radar, Military vehicles etc na siyo kwenda Singida kuuliza Zitto alikuja lini na alikaa siku ngapi.