KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 82
Ni miaka hamsini inatimia toka tanzania ipate uhuru kutoka kwa wenye akili wenzetu wazungu.walituachia chuo kikuu,hospitali tano kubwa ,mahakama,mashamba ya mzao ya kuuzwa nje kahawa,pareto,pamba,chai,korosho,tumbaku,karafuu, nk.leo hii mashamba mengi yamekufa,viwanda vingi vimekufa,mashirika mengi yamekufa,hospitali nyingi zimekuwa chakavu hamna madakitari wakutosha,vifaa duni,barabara hata za mijini zimekufa,wataalamu wengi wazuri wamekwenda kufanya kazi nje, mnaonaje wakoloni warudi au tuchague viongozi bora