mwanateknolojia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 1,026 Reaction score 1,749 Feb 25, 2020 #21 Mucho Mucho said: Kajifunze lugha ya malkia..usikurupuke..watu weusi bana. Click to expand... Kaka hata kama amematamata kimombo lakini ujumbe si umeshafika! Shukrani nyingi kwa mtoa post umetujuza wengi aisee si haba!
Mucho Mucho said: Kajifunze lugha ya malkia..usikurupuke..watu weusi bana. Click to expand... Kaka hata kama amematamata kimombo lakini ujumbe si umeshafika! Shukrani nyingi kwa mtoa post umetujuza wengi aisee si haba!
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,730 Reaction score 6,736 Feb 25, 2020 #22 Miiku said: Nimejiuliza binafsi nimesahau lugha ya English au ni Mimi peke yangu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Katika kipindi cha miaka 150 iliyopita marehemu ndiye kiongozi aliyeongoza kwa kipindi kirefu zaidi kuliko watawala wengine nchini kwake Misri.
Miiku said: Nimejiuliza binafsi nimesahau lugha ya English au ni Mimi peke yangu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Katika kipindi cha miaka 150 iliyopita marehemu ndiye kiongozi aliyeongoza kwa kipindi kirefu zaidi kuliko watawala wengine nchini kwake Misri.
Winfrida Mzungu Member Joined Jan 16, 2020 Posts 19 Reaction score 18 Feb 25, 2020 #23 R.l.P Kamanda salamu nyingi kwa Gadaffi mueleze hali halisi jinsi Libya ilivyo.
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Feb 25, 2020 Thread starter #24 Pamoja kiongozi mwanateknolojia said: Kaka hata kama amematamata kimombo lakini ujumbe si umeshafika! Shukrani nyingi kwa mtoa post umetujuza wengi aisee si haba! Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja kiongozi mwanateknolojia said: Kaka hata kama amematamata kimombo lakini ujumbe si umeshafika! Shukrani nyingi kwa mtoa post umetujuza wengi aisee si haba! Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Latrice JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 2,389 Reaction score 2,366 Feb 25, 2020 #25 Hahahaha what a good news. Nasherehekea na wazungu hapa Your browser is not able to display this video.
Hahahaha what a good news. Nasherehekea na wazungu hapa Your browser is not able to display this video.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Aug 1, 2024 #26 mulwanaka said: Kamaliza maisha yake vibaya sana namajuto mengi hajafaidi ulumwengu hu.......hili liwe somo kwa viongozi makatili wote Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Miaka 30 ya urais wa Misri bado unasema hajaifaidi dunia!
mulwanaka said: Kamaliza maisha yake vibaya sana namajuto mengi hajafaidi ulumwengu hu.......hili liwe somo kwa viongozi makatili wote Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Miaka 30 ya urais wa Misri bado unasema hajaifaidi dunia!