Hospital ipi nzuri kwa clinic ya mjamzito

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
815
Reaction score
216
Wakuu poleni na majukumu.nilikuwa naomba kufahamu,kati ya AAR na MARIE STOPES wapi kuna huduma nzur ya clinic kwa mjamzito?nitashkuru kwa mawazo yenu.
 
personal I can say nowhere,huduma za afya Tanzania ni shidaaaaaaaa sana usanii umekuwa mwingi sana yaani kwa kuwa wewe si mtaalamu upande huu watakuiibia weeee mpaka basi,hata hivi vifo vya kina mama wajawazito ni laana tu tulionayo.
mie nakushauri nenda specifically kwa dr ambaye labda kuna blood related ama anafahamiana na jamaa zako ili kuwepo na soni otherwise kote chenga tu
 
duh!nashkuru mkuu.
 
duh!nashkuru mkuu.
yaani kila mmoja amegeuza sehemu yake deal sehemu ya kupata pesa hata watu professionaly katika kazi za kila siku anataka pesa ianzie kwake,how?
wewe ni dr. fanya kazi ulipwe mwisho wa mwezi lkn utakuta yeye naye anataka akusanye pesa ,are you mtunza pesa? no so why,nae mpandisha zege juu ya ghorofa inayojengwa anataka akusanye pesa wapi na wapi ndo inatokea kama mama wa jirani corridor yake ina magema badala ya kufiksha juu kalai la zege linaishia kwa mama wa jirani foreman unajua kwenye floor ya pili tumepeleka mota kalai 50 kumbe 5 zimeenda pembeni
 
Wakuu poleni na majukumu.nilikuwa naomba kufahamu,kati ya AAR na MARIE STOPES wapi kuna huduma nzur ya clinic kwa mjamzito?nitashkuru kwa mawazo yenu.

Kwa masuala ya ujauzito nakushauri nenda hospitali za govt kwanza utapata ujasi ri sana alafu utakutana na wakunga waliobobea kwenye fani na mwisho utakutana na wenzako wengi. Ni hayo tu
 
Kwa masuala ya ujauzito nakushauri nenda hospitali za govt kwanza utapata ujasi ri sana alafu utakutana na wakunga waliobobea kwenye fani na mwisho utakutana na wenzako wengi. Ni hayo tu
shukrani mkuu
 
Wakuu poleni na majukumu.nilikuwa naomba kufahamu,kati ya AAR na MARIE STOPES wapi kuna huduma nzur ya clinic kwa mjamzito?nitashkuru kwa mawazo yenu.

Nashauri ukaanzie APPOLO INDIA! Kama kuna hospital nzuri hapa TZ, akina nanihii wasinge fia Appolo.
 
Nashauri ukaanzie APPOLO INDIA! Kama kuna hospital nzuri hapa TZ, akina nanihii wasinge fia Appolo.

Naunga mkono hoja. Appolo ndo kunakofaa pia gharama zake ni nafuu ukilinganisha hospitali nyingine za nje ya nchi
 
Umewai kwenda

Hapana mkuu, ila tumemshauri hivyo kwasababu tumeshuhudia Kina nanihii (ambao wako kwenye system) wanaenda kutibiwa nje. Sasa hosp za bongo zingekuwa nzuri wao India wangefuata nini?
 
Nenda Haemeda pale Upanga makao makuu ya scout.
 
Kairuki
Muhimbili 1st track
Msasani peninsula...the best
Ukishindwa nemda kapambane na foleni agha khan
 
Sanitas na wenyewe wanapasifia......

Wengine Bochi (kama sijakosea jina ipo kimara kimara huko i think)

Ila hizi mwananyamala...temeke mmmh siiushauro si unaona wenyenchi wanakimbilia india???jiulize kwa nini
 
Hiyo bochi sitaki hata kuisikia. Kuna shosti alijifungua mtoto premature, wakamuweka na mama kwenye ward. Nikauliza hakuna haja ya joto? Baadae mtoto akaturn blue, na mama ndio aligundua mwenyewe. Wakamuweka kwenye oxygen sijui wapi, asubuhi akawa amefariki. Nesi anasema oxygen iliisha usiku.

Ni wazembe mno!

Hospitali tmj (both mikocheni na quality center) pia. Ila foleni ya agha khan is worth it kwa usalama
Sanitas na wenyewe wanapasifia......

Wengine Bochi (kama sijakosea jina ipo kimara kimara huko i think)

Ila hizi mwananyamala...temeke mmmh siiushauro si unaona wenyenchi wanakimbilia india???jiulize kwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…