Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh!nashkuru mkuu.personal I can say nowhere,huduma za afya Tanzania ni shidaaaaaaaa sana usanii umekuwa mwingi sana yaani kwa kuwa wewe si mtaalamu upande huu watakuiibia weeee mpaka basi,hata hivi vifo vya kina mama wajawazito ni laana tu tulionayo.
mie nakushauri nenda specifically kwa dr ambaye labda kuna blood related ama anafahamiana na jamaa zako ili kuwepo na soni otherwise kote chenga tu
yaani kila mmoja amegeuza sehemu yake deal sehemu ya kupata pesa hata watu professionaly katika kazi za kila siku anataka pesa ianzie kwake,how?duh!nashkuru mkuu.
Wakuu poleni na majukumu.nilikuwa naomba kufahamu,kati ya AAR na MARIE STOPES wapi kuna huduma nzur ya clinic kwa mjamzito?nitashkuru kwa mawazo yenu.
shukrani mkuuKwa masuala ya ujauzito nakushauri nenda hospitali za govt kwanza utapata ujasi ri sana alafu utakutana na wakunga waliobobea kwenye fani na mwisho utakutana na wenzako wengi. Ni hayo tu
Wakuu poleni na majukumu.nilikuwa naomba kufahamu,kati ya AAR na MARIE STOPES wapi kuna huduma nzur ya clinic kwa mjamzito?nitashkuru kwa mawazo yenu.
Aina hz hazikosekani jf hivyo sishangai.Ungeuliza kabla ya kupata mimba.
Huko Koote Hakufai nenda Apollo India.Wakuu poleni na majukumu.nilikuwa naomba kufahamu,kati ya AAR na MARIE STOPES wapi kuna huduma nzur ya clinic kwa mjamzito?nitashkuru kwa mawazo yenu.
Nashauri ukaanzie APPOLO INDIA! Kama kuna hospital nzuri hapa TZ, akina nanihii wasinge fia Appolo.
Naunga mkono hoja. Appolo ndo kunakofaa pia gharama zake ni nafuu ukilinganisha hospitali nyingine za nje ya nchi
Ungeuliza kabla ya kupata mimba.
Umewai kwenda
Sanitas na wenyewe wanapasifia......
Wengine Bochi (kama sijakosea jina ipo kimara kimara huko i think)
Ila hizi mwananyamala...temeke mmmh siiushauro si unaona wenyenchi wanakimbilia india???jiulize kwa nini