Hiyo bochi sitaki hata kuisikia. Kuna shosti alijifungua mtoto premature, wakamuweka na mama kwenye ward. Nikauliza hakuna haja ya joto? Baadae mtoto akaturn blue, na mama ndio aligundua mwenyewe. Wakamuweka kwenye oxygen sijui wapi, asubuhi akawa amefariki. Nesi anasema oxygen iliisha usiku.
Ni wazembe mno!
Hospitali tmj (both mikocheni na quality center) pia. Ila foleni ya agha khan is worth it kwa usalama
Usiniambie kuhusu bochi.
Kuna wadada waliisifiaga sana kwa huduma.... itabidi niwaulize isije kuwa walikuwa wanafanya marketing...yaani walichokifanya ni uzembe sana
uko sahh mkuu. Bochi ni jehanam pale, bora hata mwananyamalaHiyo bochi sitaki hata kuisikia. Kuna shosti alijifungua mtoto premature, wakamuweka na mama kwenye ward. Nikauliza hakuna haja ya joto? Baadae mtoto akaturn blue, na mama ndio aligundua mwenyewe. Wakamuweka kwenye oxygen sijui wapi, asubuhi akawa amefariki. Nesi anasema oxygen iliisha usiku.
Ni wazembe mno!
Hospitali tmj (both mikocheni na quality center) pia. Ila foleni ya agha khan is worth it kwa usalama
Nenda muhimbili,kule fast track,nenda kwa kairuki,hata Marie stopes nayo wanaisifia..