Hospital ipi nzuri kwa clinic ya mjamzito

Hospital ipi nzuri kwa clinic ya mjamzito

Usiniambie kuhusu bochi.
Kuna wadada waliisifiaga sana kwa huduma.... itabidi niwaulize isije kuwa walikuwa wanafanya marketing...yaani walichokifanya ni uzembe sana

Hiyo bochi sitaki hata kuisikia. Kuna shosti alijifungua mtoto premature, wakamuweka na mama kwenye ward. Nikauliza hakuna haja ya joto? Baadae mtoto akaturn blue, na mama ndio aligundua mwenyewe. Wakamuweka kwenye oxygen sijui wapi, asubuhi akawa amefariki. Nesi anasema oxygen iliisha usiku.

Ni wazembe mno!

Hospitali tmj (both mikocheni na quality center) pia. Ila foleni ya agha khan is worth it kwa usalama
 
Yeah, sidhani kama wako makini. Kilichoniudhi zaidi kwao haikuwa issue. Kwa sababu ikitokea maternal death yoyote hosp zingine huwa ni issue na vikao kama vya chama
Usiniambie kuhusu bochi.
Kuna wadada waliisifiaga sana kwa huduma.... itabidi niwaulize isije kuwa walikuwa wanafanya marketing...yaani walichokifanya ni uzembe sana
 
Hiyo bochi sitaki hata kuisikia. Kuna shosti alijifungua mtoto premature, wakamuweka na mama kwenye ward. Nikauliza hakuna haja ya joto? Baadae mtoto akaturn blue, na mama ndio aligundua mwenyewe. Wakamuweka kwenye oxygen sijui wapi, asubuhi akawa amefariki. Nesi anasema oxygen iliisha usiku.

Ni wazembe mno!

Hospitali tmj (both mikocheni na quality center) pia. Ila foleni ya agha khan is worth it kwa usalama
uko sahh mkuu. Bochi ni jehanam pale, bora hata mwananyamala
 
Hospotal za bongo kwa mama mjamzito ni shida, binafsi sioni hata moja yenye unafuu maana kote tulikwisha tendwa na wife wangu zaidi ni kwa neema ya Mungu tunazaliwa.
 
kuna docta Kidanto alikuwa Ami hospital nadhani na muhimbili ukumpata huyo hutajuta
 
Nenda muhimbili,kule fast track,nenda kwa kairuki,hata Marie stopes nayo wanaisifia..

mariastopes hawana akili nilienda kuanza kliniki wakaanza kunipa habari za abortion nikaondoka kimya kimya.
kama ni ujauzito wa kwanza aende hospital ya serikali
kule manesi ni wakali ila wanatoa elimu ya mama na mtoto na kumjenga kiakili.
 
Nenda pale Mbuyuni kuna clinic ya Professor Mgaya inautwa Maria Clinic ambaye ni Dr. Wa Muhimbili na anakuattend mpaka utakapojifungua.

Na kujifungua atakuwa na wewe first track hapo hapo Muhimbili

So utakuwa naye tangu mwanzo mpaka mwisho.

N.B. Usiwe na pesa za madafu...
 
Back
Top Bottom