Hospital nzuri (PRIVATE) ya kujifungulia mjini Moshi

Hospital nzuri (PRIVATE) ya kujifungulia mjini Moshi

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Salam wanabodi:Naomba anayejua hospital nzuri kwa kujifungulia mjini moshi-Kilimanjaro ila iwe na-:
-huduma nzuri
-iwe ya private
-inakubali bima(NHIF)
 
Nenda za serikali siku hizi madaktari wanakuhudumia vizuri na kuna kila aina ya kifaa mimi nilijitia mapana kumpeleka AGHA KHAN hizi za mikoani kumbe kuna mi mwanafunzi ya field madktari wapo huku serikali za serikali za rufaa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospital ya serikalini,huko private mnatafutaga matatizo alafu yakiwashinda mnakuja kumalizia lawama serikalini.
 
Nenda hospital ya serikalini,huko private mnatafutaga matatizo alafu yakiwashinda mnakuja kumalizia lawama serikalini.
Nashkuru kwa ushauri ila tatizo linakua kwenye ubora wa huduma
 
Nenda KCMC wana room mpya za private hata Apollo hawaoni ndani
 
Back
Top Bottom