Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hospitali hii ilijengwa na kanisa la Moravian na baadae ilikabidhiwa serikali na bahati mbaya hakuna viongozi wanaoishi huko.View attachment 2711922hii ni hospitali ni yenye historia kubwa ukanda wote wa mbeya na hasa wilaya ya ileje ! Ndio ilikuwa tegemeo kuanzia miaka ya 1951 ilipokuwa zahanati Hadi kufikia 1961 ilipokuwa hospitali kamili ..hospitali hii kulingana na jiografia yake wagonjwa walikuwa hawabebwi na ambulance kulingana na vijii karibia vyote katika wilaya ya ileje miaka hiyo Hadi kufikia 2010 havikuwa na miundo mbinu ya barabara ! Njia pekee ya kumfikisha mgonjwa ilikuwa ni kwa njia ya vichanja au mzegazega hospitali hii ni muhimu sana lakini mpaka Sasa miundo mbinu ya barabara kuifikia hospitali hii ni changamoto kubwa hasa ikifika wakati wa mvua ..hakuna ukarabati wowote majengo ni Yale Yale tañgu enzi za mkoloni ..hospitali hii kwa sababu majengo yake karibia yote yamechoka tunaomba serikali kupitia wizara ya afya na waziri wa afya jaribu kuitembelea hospitali hii ...utakuwa mzalendo na historia itakukumbuka ..iokoeni hospitali hii yenye historia kubwa sana tañgu enzi za ujamaa mpaka SasaView attachment 2711933tunaamini wahusika na wanaoijua vizuri hospitali hawatapuuza ujumbe huu
Yaani wakati mwingine unajiuliza....hivi mbunge, mkuu wa wilaya au mkurugenzi wa sehemu husika miaka yote sijui wako likizo kiasi cha mpaka mtu wa kawaida, apige picha ya hali taabani ya hospital kulalamika mtandaoni ndo changamoto kama hizo zitafutiwe ufumbuzi??... !! Kwa kweli Tz mambo ni mengi ,na muda ni mchache..........Hii nchi imelaaniwa haswa, utadhani hilo eneo hakuna viongozi kumbe wapo wanashinda kwenye semina
Tuna mfumo wa kijinga snYaani wakati mwingine unajiuliza....hivi mbunge, mkuu wa wilaya au mkurugenzi wa sehemu husika miaka yote sijui wako likizo kiasi cha mpaka mtu wa kawaida, apige picha ya hali taabani ya hospital kulalamika mtandaoni ndo changamoto kama hizo zitafutiwe ufumbuzi??... !! Kwa kweli Tz mambo ni mengi ,na muda ni mchache..........
Morovian. Mwanakondoo ameshinda. Kuna uzembe kwa viongozi wanaosimamia taasisi za Kanisa la Morovian nchini. Wengi ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Hata chuo kikuu cha TEKU kiko hoi bin taaban. Huwezi amini kama ni chuo kikuu. Mishahara hailipwi kwa wakati na majengo hayakarabatiwiNi Kkkt au Rc?
Ipo chini ya kanisa la Moravian Tanzania. Hili kanisa limefeli kuendesha miradi mingi tu iliyoachwa na wamishenari limekalia migogoro na ufisadi! Hovyo sana.Ni ya dini au serikali?
Ndugu zangu wengi walisali huko wamekimbia! Ni kama lina roho ya umaskini hilo kanisa!Morovian. Mwanakondoo ameshinda. Kuna uzembe kwa viongozi wanaosimamia taasisi za Kanisa la Morovian nchini. Wengi ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Hata chuo kikuu cha TEKU kiko hoi bin taaban. Huwezi amini kama ni chuo kikuu. Mishahara hailipwi kwa wakati na majengo hayakarabatiwi
Hili kanisa Lina mambo mengi ambayo yamejificha limepoteza sifa zile ambazo lilijijengea miaka ya nyumaMorovian. Mwanakondoo ameshinda. Kuna uzembe kwa viongozi wanaosimamia taasisi za Kanisa la Morovian nchini. Wengi ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Hata chuo kikuu cha TEKU kiko hoi bin taaban. Huwezi amini kama ni chuo kikuu. Mishahara hailipwi kwa wakati na majengo hayakarabatiwi
Hili Jimbo linapaswa ligawanyweYaani wakati mwingine unajiuliza....hivi mbunge, mkuu wa wilaya au mkurugenzi wa sehemu husika miaka yote sijui wako likizo kiasi cha mpaka mtu wa kawaida, apige picha ya hali taabani ya hospital kulalamika mtandaoni ndo changamoto kama hizo zitafutiwe ufumbuzi??... !! Kwa kweli Tz mambo ni mengi ,na muda ni mchache..........
Ni jimbo gani mkuuHili Jimbo linapaswa ligawanywe