Hospital teule ya isoko ,itabaki magofu kama serikali haitachukua hatua, imechoka na haitamaniki Tena!

Hii nchi imelaaniwa haswa, utadhani hilo eneo hakuna viongozi kumbe wapo wanashinda kwenye semina
πŸ˜πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„Wanawaza Urefu Wa Kamba
 
Hakuna kutumia pesa za Umma kwenye Mali za makanisa
 
Maaskofu wa Moravian wanajichanganya na siasa badala ya kusimamia shughuli za kiroho. Mmojawapo ni Emmaus Bandekile Mwamakula. Kutwa yuko kwenye mikutano ya CHADEMA
 
Ndugu zangu wengi walisali huko wamekimbia! Ni kama lina roho ya umaskini hilo kanisa!
Hata Auxiliary Bishop Stephano Musomba wa RC, Jimbo la Dar es Salaam alikuwa Mmoravian lakini baadaye akatoka na kukiri imani ya RC na kisha kuwa Padri hatimaye Askofu mwaka 2021.

Wamoravian wengi wanahamia KKKT hasa wakitoka Mbeya
 
Hata Auxiliary Bishop Stephano Musomba wa RC, Jimbo la Dar es Salaam alikuwa Mmoravian lakini baadaye akatoka na kukiri imani ya RC na kisha kuwa Padri hatimaye Askofu mwaka 2021.

Wamoravian wengi wanahamia KKKT hasa wakitoka Mbeya
Huyo Musomba ni mjomba wangu na ni miongoni mwa ndugu wengi walioondoka Moravian.
 
Ooh kumbe!! Jamaa amenyooka sana kwenye neno la Mungu
Kaka yake ni yule Musomba alikuaga mwenyekiti wa Moravian Jimbo la kusini na akawa mwenyekiti wa Moravian ulimwenguni. Ukoo wao una bahati sana ya vyeo.
 
Wachungaji wanapenda kuishi kianasa sana. Na huu ujio wa wachungaji matajiri ndiyo umewawehisha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…