Hospital ya Mirembe

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,027
Reaction score
5,344
Habari wana JF...
Napenda kuitumia nafasi hii kwa kuondoa ile dhana kwa baadhi ya watu ya kusema Hospitali ya Mirembe ni ya wagonjwa wa akili tu (wengine huwaita vichaa but siyo kabisa)

Kama ulikuwa unaumwa au umewahi kuumwa maradhi ya kawaida tu halafu uende Mirembe, ukiwasimulia watu hasa wa mikoani utachekwa sana tu wakijua wewe ulikuwa unaumwa akili.

Kwa kifupi ile hospital inatibu pia magonjwa mengineyo kama malaria, tyford, nk. na kwa ujumla ni nzuri sana.
Wengi nje na Dodoma ndio wanafahamu hivyo.
 
kwa hiyo nawe umetoka mirembe mkuu?

Hapana kuna jamaa angu alikuwa anaumwa malaria akalazwa sasa aliporudi kazini boss wetu siku hiyo hakuwepo wakati jamaa kalazwa na boss anakaa dsm na huja siku moja au mbili na kugeuza. So alipo muuliza jamaa ulikuwa hosptal gani akasema Mirembe. Boss alicheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…