Hospitali gani inafanya kipimo cha OGD?

Hospitali gani inafanya kipimo cha OGD?

moga jr

Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
11
Reaction score
1
Helo,habari? Hospitali gani naweza kupima kipimo cha O.G.D kwa ajili ya tumbo kwa bei nafuu?
 
ni aina ya kipimo kinachotumia camera maalum kwa ajili ya kuvisualize njia ya chakula kuanzia level ya koromeo mpk sehemu ya kwanza ya utumbo mwembamba
 
Back
Top Bottom