Hospitali gani naweza kufanyiwa operation bila kuchanwa(Laparoscopy)?

mwampepe

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
330
Reaction score
129
Habari,naomba msaada wa kuchagua hospitali ya kufanyiwa operation ambayo hawatanichana lakini wataniingiza chombo mfano mrija na kutoa uvimbe kati ya hospitali zifuatazo ipi inatoa hiyo huduma ya operation bila kuchana?

Kinondoni hospitali/Dr mvungi(kinondoni),Mount ukombozi hospitali(Moroco), Kinondoni Municipal hospital(Mwananyala), Kibangu Mission hospitali,Mikumi hospitali Magomeni,bochi hospitali (mbezi),Rabinasia hospitali (tegeta) Ekenywa ent medica center (magomeni),sanitas hospital (mikocheni),St monica modern med cenre (manzese),alexia medical limited(Kigamboni), Salamani hospitali (Magomeni), tumaini comprehensive infirmary hospital(Upanga),Tabata cancer ,& general hospitali,ilala municipal hospitali /amana (ilala).

Tatizo langu ni uvimbe kwenye mlango wa kizazi natanguliza shukurani zangu asanteni sana
================
Opera.jpg
opera 2.jpg
 
Operation gani ya ndani ufanyiwe bila kuchana? Nadhani ukifanikiwa kuipata utahitaji hata ukifa usioze, subiri wapo watakuja wataalam.
 
Pole sana,sijui kama mambo haya yanafanyika hapa nchini,ila nakumbuka ndugu yangu aliwahi fanyiwa operation kama hiyo ila ilikuwa ni ya tezi dume nje ya nchi.
 
Asante
 
Cha msingi kupona tu kuogopa kuchanwa au makovu visikutishe na hata hivyo siku hizi mabadiliko ni makubwa hata ukichanwa hawachani sehemu kubwa sana usiogope

Pole sana lakini Mungu akusaidie operation iende salama na upone kabisa
 
Muhimbili wanatoa huduma hii,ila bima yangu inachagua hospitali,hizo nilizoorodheshwa hapo juu na hela ya kulipa cash Muhimbili saizi sina,ndio maana naulizia hizi hospitali kwanza,kama zinatoa hiyo huduma.
 
Muhimbili na Agha Khan ndio najua wana huo utaalamu. Hizo ulizotaja sidhani kama zipo
 
Habari,naomba msaada wa kuchagua hospitali ya kufanyiwa operation ambayo hawatanichana lakini wataniingiza chombo mfano mrija na kutoa uvimbe kati ya hospitali zifuatazo ipi inatoa hiyo huduma ya operation bila kuchana?

Kinondoni hospitali/Dr mvungi(kinondoni),Mount ukombozi hospitali(Moroco), Kinondoni Municipal hospital(Mwananyala), Kibangu Mission hospitali,Mikumi hospitali Magomeni,bochi hospitali (mbezi),Rabinasia hospitali (tegeta) Ekenywa ent medica center (magomeni),sanitas hospital (mikocheni),St monica modern med cenre (manzese),alexia medical limited(Kigamboni), Salamani hospitali (Magomeni), tumaini comprehensive infirmary hospital(Upanga),Tabata cancer ,& general hospitali,ilala municipal hospitali /amana (ilala).

Tatizo langu ni uvimbe kwenye mlango wa kizazi natanguliza shukurani zangu asanteni sana
================
View attachment 713270 View attachment 713271

Nenda Agakhan hsptal,wanafanya hii kitu,wyf alifanyiwa mwaka jana...
 
Cha msingi kupona tu kuogopa kuchanwa au makovu visikutishe na hata hivyo siku hizi mabadiliko ni makubwa hata ukichanwa hawachani sehemu kubwa sana usiogope

Pole sana lakini Mungu akusaidie operation iende salama na upone kabisa
Nashukuru sana
 
Asante ubarikiwe
 
Back
Top Bottom