MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Ahsante sana mkuuNenda hospitali ya rufaa utamkuta daktari bingwa wa urology anaitwa Dr Samky
Mkuu nakuja pm kama hutojaliUna shida gani mkuu?
Mkuu pm yako inaonekana imefungwa...kama hutojali naomba unifungulieUna shida gani mkuu?
Nami nina shida korodani Yangu ya kulia ina maumivu. Nimeenda hospital kufanya ultrasound Kuna bacteria. Nikapewa dawa maumivu yakatoka baadaye yakarudi tena..Una shida gani mkuu?