Hospitali gani nitampata urologist mzuri mbeya

Hospitali gani nitampata urologist mzuri mbeya

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,780
Reaction score
2,555
Wakuu habari yenu,natafuta daktari aliyebobea kwenye maswala ya urology hapa mkoani mbeya,wakuu mnaweza nielekeza ni hospitali gani naweza kwenda iliyopo hapa jijini mbeya
 
Una shida gani mkuu?
Nami nina shida korodani Yangu ya kulia ina maumivu. Nimeenda hospital kufanya ultrasound Kuna bacteria. Nikapewa dawa maumivu yakatoka baadaye yakarudi tena..
Unaweze nisaidie
 
Back
Top Bottom