Samia hujambo mama?Ccbrt pia
Ipo ntyuka😂Hii ya Dodoma ipo sehemu gani?
Ni tatizo la kawaida. Nenda kapime miwani. Nadhani utahitaji kuvaa miwani.Naona kama macho yamepoteza uwezo wa kuona vizuri, sana sana Kwa karibu nashindwa kusoma vizuri maandishi vizuri ,ingawa nilienda hospital wakaniambia hamna tatizo isipokuwa walinishauri nitumie miwani.
Yanauma?Na vipi kama yanakuwa mazito na something yanatoq machozi? Ingawa sio muda wote
Hapo unahitaji miwani, au kama kiraundi cha jicho kimesinyaa kutokana na pombe kali, acha pombe; kama uko moshi unaweza kutembelea kilimanjaro hosp. au clinic moja tabora inaitwa furaha; watakupima na watakushauri cha kufanya pamoja na tiba. Kama unatumia pombe kali, acha; kula vyakula vya lishe anavyopewa mtoto mdogo utakaa sawa. Vinginevyo dokta atakushauri cha kufanyaHapana
Situmii pombe mkuuHapo unahitaji miwani, au kama kiraundi cha jicho kimesinyaa kutokana na pombe kali, acha pombe; kama uko moshi unaweza kutembelea kilimanjaro hosp. au clinic moja tabora inaitwa furaha; watakupima na watakushauri cha kufanya pamoja na tiba. Kama unatumia pombe kali, acha; kula vyakula vya lishe anavyopewa mtoto mdogo utakaa sawa. Vinginevyo dokta atakushauri cha kufanya