Hospitali gani nzuri kwa matatizo ya macho?

Naona kama macho yamepoteza uwezo wa kuona vizuri, sana sana Kwa karibu nashindwa kusoma vizuri maandishi vizuri ,ingawa nilienda hospital wakaniambia hamna tatizo isipokuwa walinishauri nitumie miwani.
Ni tatizo la kawaida. Nenda kapime miwani. Nadhani utahitaji kuvaa miwani.
 
Hapo unahitaji miwani, au kama kiraundi cha jicho kimesinyaa kutokana na pombe kali, acha pombe; kama uko moshi unaweza kutembelea kilimanjaro hosp. au clinic moja tabora inaitwa furaha; watakupima na watakushauri cha kufanya pamoja na tiba. Kama unatumia pombe kali, acha; kula vyakula vya lishe anavyopewa mtoto mdogo utakaa sawa. Vinginevyo dokta atakushauri cha kufanya
 
Situmii pombe mkuu
 
Back
Top Bottom