Hospitali gani nzuri kwa matatizo ya macho?

Na wakati mwingine ukiwa unatembea unaona kama kizunguzungu hivi na kichwa kuuma na wakati mwingine kinakjwa kizito, ingawa nilijaribu kwenda hospital kufanya vipimo vingi tu ikiwepi MRI ikaonesha hamna kitu.Je hili tatizo linaweza sababishwa na ishu ya macho na kama ikitokea napewa miwani inaweza maliza tatizo?
 
Unatumia computer?
 
Mimi naumwa kichwa upande mmoja like mshipa unaotoka kwenye jicho, five years now tokea nipo shule, mwanzo niliambiwa nakunywa maji mengi kitu ambacho kilikua kweli maama asubuhi nilikua nikiamka lazima ninywe maji mengi, nilipoacha kunywa maji asubhi na kichwa kikaacha kuuma, ila kilikuja kuanza tena kipindi nilianza kuangalia movies kwenye pc na tv mda mrefu nikaacha kikaacha na chenyewe, now kimeanza tena kinauma hadi natoa machozi, kuona naona vizuri hasa mbali ninaona sana maana kipindi nikiwa chuo tunakaa kwenye hall bench zima hakuna anayeweza kusoma ubaoni ila mimi nilikua na uwezo wa kusoma kila kitu clearly, sasa bado nashindwa kujua tatizo ni nini
 
Mimi macho yangu nimegundua nikiangalia tv au simu, pc yanauma kama now nimepunguza mwanga kwenye simu mpk chini ila still nahisi maumivu kwa mbali shida nini? Nikiongeza ndio kbs yanavuta na kuachia
Siku nyingine yanauma tu yenyewe mchana au usiku

Nilipia wakaniambia nipo fresh japo nawashwa kwenye macho baada ya dawa angalauuu sana imesaidia naona biyeee kbs mbl ama karibu
 
Wakuchunguze vizuri kwenye macho kwa kile kipimio chao kinakuwa kama microscope, huwa kuna vipele vinaota kwenye jicho kama allergy fulani, wakikupatia dawa tatizo linaisha; mara nyingi husababisha jicho kuuma lionapo mwanga
 
Wakuu, habari za Muda huu, Naomba kusaidiwa mada tajwa hapo juu, Kwamba ni hospital gani yenye maspecialists wazuri na wana vifaa vizuri Kwa hapa bongo?
CCBRT kwa Classmate Wangu Oysterbay Primary School Boss Lady ( Boss Kubwa ) Dada Brenda Msangi ( Binti wa Boss Mkuu wa zamani TCC ) tulioanza Wote Darasa la Kwanza chini ya Mwalimu Wetu wa Darasa Mwalimu Nunduma ( R.I.P ) mwaka ambao Rais Museveni wa Uganda ndiyo aliichukua Uganda na Kuitawala hadi hii leo.
 
Wakuchunguze vizuri kwenye macho kwa kile kipimio chao kinakuwa kama microscope, huwa kuna vipele vinaota kwenye jicho kama allergy fulani, wakikupatia dawa tatizo linaisha; mara nyingi husababisha jicho kuuma lionapo mwanga
Ngoja nipate muda maana sijui walitaka ninunue tu miwani ya mwanga
 
Inawezekana tayari umechukua uamuzi, Pamoja Na CCBRT pia kuna Hosiptal ipo kibaha Pwani, pale ilikua minzani, mail moja, unakunja kulia ukitokea Dar, inaitwa Med Well, huduma mzuri, kwa bei nafuu.
 
Mtoto wa jicho mkuu , nenda wakachune hako kangozi ka jicho wabandike kingine mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…