Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukaanza na clinic yoyote iliyokaribu nawe yenye vifaa vya kupimia, ilikujua tatizo na suluhisho.Situmii pombe mkuu
Hata Robo hawafiki mkuuKcmc vipi maana nilisikia na wao wanawazidi ccbrt ni kweli?
Kcmc hawaoni ndani hapoKcmc vipi maana nilisikia na wao wanawazidi ccbrt ni kweli?
Na wakati mwingine ukiwa unatembea unaona kama kizunguzungu hivi na kichwa kuuma na wakati mwingine kinakjwa kizito, ingawa nilijaribu kwenda hospital kufanya vipimo vingi tu ikiwepi MRI ikaonesha hamna kitu.Je hili tatizo linaweza sababishwa na ishu ya macho na kama ikitokea napewa miwani inaweza maliza tatizo?Hapo unahitaji miwani, au kama kiraundi cha jicho kimesinyaa kutokana na pombe kali, acha pombe; kama uko moshi unaweza kutembelea kilimanjaro hosp. au clinic moja tabora inaitwa furaha; watakupima na watakushauri cha kufanya pamoja na tiba. Kama unatumia pombe kali, acha; kula vyakula vya lishe anavyopewa mtoto mdogo utakaa sawa. Vinginevyo dokta atakushauri cha kufanya
Unatumia computer?Na wakati mwingine ukiwa unatembea unaona kama kizunguzungu hivi na kichwa kuuma na wakati mwingine kinakjwa kizito, ingawa nilijaribu kwenda hospital kufanya vipimo vingi tu ikiwepi MRI ikaonesha hamna kitu.Je hili tatizo linaweza sababishwa na ishu ya macho na kama ikitokea napewa miwani inaweza maliza tatizo?
Ina ile kitaa cha red/blue kwenye monitorZaidi ya masaa 3-5 Kwa siku
Mimi macho yangu nimegundua nikiangalia tv au simu, pc yanauma kama now nimepunguza mwanga kwenye simu mpk chini ila still nahisi maumivu kwa mbali shida nini? Nikiongeza ndio kbs yanavuta na kuachiaHapo unahitaji miwani, au kama kiraundi cha jicho kimesinyaa kutokana na pombe kali, acha pombe; kama uko moshi unaweza kutembelea kilimanjaro hosp. au clinic moja tabora inaitwa furaha; watakupima na watakushauri cha kufanya pamoja na tiba. Kama unatumia pombe kali, acha; kula vyakula vya lishe anavyopewa mtoto mdogo utakaa sawa. Vinginevyo dokta atakushauri cha kufanya
Wakuchunguze vizuri kwenye macho kwa kile kipimio chao kinakuwa kama microscope, huwa kuna vipele vinaota kwenye jicho kama allergy fulani, wakikupatia dawa tatizo linaisha; mara nyingi husababisha jicho kuuma lionapo mwangaMimi macho yangu nimegundua nikiangalia tv au simu, pc yanauma kama now nimepunguza mwanga kwenye simu mpk chini ila still nahisi maumivu kwa mbali shida nini? Nikiongeza ndio kbs yanavuta na kuachia
Siku nyingine yanauma tu yenyewe mchana au usiku
Nilipia wakaniambia nipo fresh japo nawashwa kwenye macho baada ya dawa angalauuu sana imesaidia naona biyeee kbs mbl ama karibu
CCBRT kwa Classmate Wangu Oysterbay Primary School Boss Lady ( Boss Kubwa ) Dada Brenda Msangi ( Binti wa Boss Mkuu wa zamani TCC ) tulioanza Wote Darasa la Kwanza chini ya Mwalimu Wetu wa Darasa Mwalimu Nunduma ( R.I.P ) mwaka ambao Rais Museveni wa Uganda ndiyo aliichukua Uganda na Kuitawala hadi hii leo.Wakuu, habari za Muda huu, Naomba kusaidiwa mada tajwa hapo juu, Kwamba ni hospital gani yenye maspecialists wazuri na wana vifaa vizuri Kwa hapa bongo?
Ngoja nipate muda maana sijui walitaka ninunue tu miwani ya mwangaWakuchunguze vizuri kwenye macho kwa kile kipimio chao kinakuwa kama microscope, huwa kuna vipele vinaota kwenye jicho kama allergy fulani, wakikupatia dawa tatizo linaisha; mara nyingi husababisha jicho kuuma lionapo mwanga
Unaweza kutembelea clinic nyingine wakucheki tena, unaweza kuta tiba yake ni 5,000 tu ya ile dawa ya dropNgoja nipate muda maana sijui walitaka ninunue tu miwani ya mwanga
Kuna baadhi ya laptop huwa kuna hicho kitaa, kama laptop yako inayo inaweza kuwa chanzo cha matatizoSehemu gani kwenye monitor? Mimi natumia sana Laptop mkuu