Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sawa nimekupata ingawaje sina uhakika labda neno tohara hutumika pande zote mbili!
Ukisikia ujinga ndio huu unauleta wewe, kama kitu hujui kaa kimya. Au ulitaka aseme circumsition ndio ungeelewa?
Soma Agano la kale utajuwa tohara ni nini.
Mdogo ana miaka mingapi? Vibamia asili yake ni kuwahi kutahiri watoto. Be informed.
mchanga....nataka in sha allah awe amepona kabla ya arobaini
.........Daaah! kumbe ndo maana wazazi wangu walinikaushia bila ya kunitahiri hadi nilipofikia miaka 27 nikajipeleka mwenyewe. Inawezekana wali-focus ishu hiyo ya kibamia.
Duuh!. JF is everything.aisee! Aha ha ha ha!!!!
Miaka 27 ulichelewa pia inatakiwa kabla hujabalehe.
Nakubaliana na wewe, watoto wangu wote nimefanyia hapo, sema ndio kuwahi mapema maana ukifika saa 12 utawakuta wenzio wameshachukua nambawe mstahiki meya gan hujui haya mambo bana. ok nenda pale kkoo kwa Dr Abdul dakika 10 nyingi Sema watu ni wengi wah asubuhi
Tusipangiane malezi, kuzaa azae yeye kupanga muda wa kumtairi umpangie wewe!! Zaa wako mjombaMapema sana , subiri dogo akue. Atleast akiwa darasa la nne au la tatu
mkuuu kwa mtu wa mbali anatakiwa afike saaa ngap pale walau awe na uhakika wa huduma??Nakubaliana na wewe, watoto wangu wote nimefanyia hapo, sema ndio kuwahi mapema maana ukifika saa 12 utawakuta wenzio wameshachukua namba
ushawahi pata huduma yake mkuu nipe experince kdg mkuu samahan lakn n muda kdg hii mada!Huyu Dr. ni bingwa wa mambo tohara kwa watoto, gharama ni 30,000/=
Mkuu mrejesho hukurudsha vipi ulifanikisha? huduma ilikuaje ndugu yetu?NDIO NAELEKEA HAPO MKUU shukran
Siku hutofautiana na hata ukipata namba 50 bado mwanao atatahiriwa tu sie wamama tunapendaga vya mapema mapemamkuuu kwa mtu wa mbali anatakiwa afike saaa ngap pale walau awe na uhakika wa huduma??
Na hawa ni cku nyingi Dana experience. Mimi niliwafanyia vijana wangu wawili hapo mwaka 2001.we mstahiki meya gan hujui haya mambo bana. ok nenda pale kkoo kwa Dr Abdul dakika 10 nyingi Sema watu ni wengi wah asubuhi
Wewe unataka kuongelea mambo ya ukeketaji mkuu. Tohara vs Ukeketaji.Kwa tohara una unamaanisha nini? Kwa maana hili neno mara nyingi hutumiwa kwa watoto kike au kwa watoto wa kiume pia ni tohara?
Daaah! wewe mtoto mzuri umenigonga kwenye nyonga ulivyosema unapenda vya mapema !!!!Siku hutofautiana na hata ukipata namba 50 bado mwanao atatahiriwa tu sie wamama tunapendaga vya mapema mapema
Una lako jambo[emoji1] [emoji1] [emoji1]Daaah! wewe mtoto mzuri umenigonga kwenye nyonga ulivyosema unapenda vya mapema !!!!
bei yake ni kiasi gani?we mstahiki meya gan hujui haya mambo bana. ok nenda pale kkoo kwa Dr Abdul dakika 10 nyingi Sema watu ni wengi wah asubuhi